Mbowe na siasa

Mbowe na siasa

Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Vipi tukikuchagua wewe? Au huchaguliki?
 
Toa mifano.Usiwe kama wauao tembo wetu
 
Ndugu yangu Chadema uwa hawakosolewi.
 
Mna matatizo nyie mnaomponda Mbowe.....tatizo lenu mmezoea siasa za matusi jukwaani, mtu asipotukana akiongea mambo yanayotakiwa kwa wananchi mnaanza kumponda, ndio maana hamuendelei. pambavu
 
Ndio zile style za kina lipumba na saif sharif, unabaki kiongozi mpaka utoweke duniani, hawa ndio firauni wa vyama hivi.
 
Wadau wote naomba kuwashukuru kwa michango yenu lakini pia nisikitike kwa kunitukana eti Lumumba, mara CCM, jamani msiniharibie wikiendi bwana mimi siko huko na kwa yeyeto anayefuatilia post zangu atakubali.

Ukimsikiliza Lisu anajenga hoja utahamia hata kama ulikuwa hukipendi chama, nadhani mmenielewa vibaya, mimi ni mpenzi wa CHADEMA na kwa taarifa yenu leo hii nimenunua t-shirt na kofia za chama ambazo nitazivaa kesho nikiwa nasafiri kurudi Dar kwa ndege.
Tunahitaji harakati lakini pia tunahitaji watu wanaoweza ku-win watu kwa hoja lakini Mbowe hana hilo anaweza tu kuwavuta ambao ni wanachama/wapenzi lakini siyo wapiga kura wa mhimu kama wanawake.... Mandela aliwahi kusema huko nyuma "harakati zetu zinakaribia kushinda kwani hata wanawake wanaanza kutuunga mkono" Ili kushinda uchaguzi/au harakati za aina yoyote ile unahitaji kuungwa mkono na wanawake na kwa kumsikiliza Mbowe sidhani kama kuna wanawake wengi watatuunga mkono, tunahitaji kuwa na watu aggrassive kam JJ Mnyika lakini ambao wanaweza kujenga hoja bila kutoa mapovu.
 
ccm hawana chao mbeya uliyetoa habari hii moyo wako unakusuta jinsi kamanda wa anga alivyoteka hisia za wana mbeya mpaka policcm wamenywea kimyaaa..
 
Unajua mimi naona kujiita Chadema kumekua fashion sasa. Kuna watu huku wanajiita Chadema au mashabiki wa Chadema ila nina mashaka na kujitolea kwao kwa chama nje ya maisha ya mtandaoni.
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh
Ndugu yangu nafikiri hujajitathmini hata we mwenyewe,labda we ndiye mwenye pupa na papara kufanya upembuzi yakinifu!Hebu fikiria Mbowe ana miaka 20 kwenye Chama na amekua mwenye hekima kwenye mambo mengi sana,labda kama hufuatilii mambo sana!Nafikiri angekua wa papara asingefika hapo alipo angekua tayari ameshaacha Chama.Hebu ulizia kwanza kabla ya kupost ili usionekane wewe ndiye mwenye Papara!!Pole lakini...ndio ufahamu wako huo,usijali
 
Jazba zipi? Nilikuwepo mkutanoni...

Vipi tukikuchagua wewe? Au huchaguliki?

Mna matatizo nyie mnaomponda Mbowe.....tatizo lenu mmezoea siasa za matusi jukwaani, mtu asipotukana akiongea mambo yanayotakiwa kwa wananchi mnaanza kumponda, ndio maana hamuendelei. pambavu

Ndugu yangu Chadema uwa hawakosolewi.

Ritz - si hitaji kuungwa mkono na watu wa aina yako....

fredie - sidhani kama ni sawa kutoa siku kadhaa hili na hili liwe limetendeka na kwa jazba namna ile. Kwa mfano CCM wakiwanyima kibali cha hayo maandamano si kuna hatari hapo, kwa nini asitumie political pressure (kusema mabayo ya CCM na serikali yake) bila kuhatarisha maisha ya watu
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Sijamsikia akihoji matokeo ya kidato cha nne au hayamhusu? Au kwa vile naye alipata daraja la mviringo?
 
Ritz - si hitaji kuungwa mkono na watu wa aina yako....

fredie - sidhani kama ni sawa kutoa siku kadhaa hili na hili liwe limetendeka na kwa jazba namna ile. Kwa mfano CCM wakiwanyima kibali cha hayo maandamano si kuna hatari hapo, kwa nini asitumie political pressure (kusema mabayo ya CCM na serikali yake) bila kuhatarisha maisha ya watu

Hawa CDM dawa yao ni 2015, CCM msiwaige kubwabwaja waachieni wananchi watawaonesha kazi 2015 eumeshachoka na kelele zao ambazo hazina tija.
 
Ndugu yangu nafikiri hujajitathmini hata we mwenyewe,labda we ndiye mwenye pupa na papara kufanya upembuzi yakinifu!Hebu fikiria Mbowe ana miaka 20 kwenye Chama na amekua mwenye hekima kwenye mambo mengi sana,labda kama hufuatilii mambo sana!Nafikiri angekua wa papara asingefika hapo alipo angekua tayari ameshaacha Chama.Hebu ulizia kwanza kabla ya kupost ili usionekane wewe ndiye mwenye Papara!!Pole lakini...ndio ufahamu wako huo,usijali
miaka ishirini wakati wanasema chama chao ni kichanga? kumbe wazushi tu
 
upo sahihi mkuu..subiri sungusungu wake sasa hivi wanakuja kukuvamia maana huwa hwapendi wafalme wao slaa na mbowe wasemwe vibaya hata kama ni ukweli....stay tuned kwa attack kutoka kwa hao vijana wasiojitambua....na mimi nasubiri matusi na kejeli kutoka kwa sungusungu wa mbowe.....but kiukweli cdm ili isonge mbele inahitaji viongozi wenye busara na subira kama MNYIKA,ZZK

Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh
 
ningeshangaa usitirike na huu uzi hahahaha mtani wa jadi bwana mkumbushe babu mangula siku hazigandi.......

Tunapoteza tu muda ila ukweli ni kwamba CDM chini ya MBOWE ni uchagga tu hakuna lolote, Bwana RITZ hivi hawa jamaa na sera yao ya UKANDA vipi? mbona tunakubaki kugawanywa kirahisi hivi?
 
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.

Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.

Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh

Yaan umeondolewa bikra kote unakimbilia humu unadhani ndo kificho!
Anza upya umepotea wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom