Scob
Member
- Dec 3, 2012
- 57
- 6
Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea.
Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama kilichoko madarakani, ninaamini kuna wanachama wengine wanaoweza kuiongoza CHADEMA kuwa chama tawala lakini siyo Mbowe kwa sababu anajazba na papara zaidi kuliko kujenga hoja.
Naomba niwashauri wale wanaochagua mwenyekiti wamchague hata Baregu, au hata Mkumbo lakini Mbowe?? Mmmhhh
Kama baba yako ndio anayejua kujenga kuliko mbowe basi tutashukuru kama atagombea uwenyekiti.
Je unakumbuka wakati wakongomano la cuf na cdm juu ya mpasuko wa kambi ya upinzani,je ni nani aliyekuwa anaonekana ana busara na nani aliyekuwa anaonekana ana papara?