Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,246
- 4,753
KimbungaHuyu makene ndio kaharibu kabisa. Matumizi ya fedha hayaongelewi kwa maneno matupu kama tamthilia bali huongelewa kwa figures. Anaweka kiasi cha ruzuku wanachopata lakini matumizi yameegemea maneno matupu bila numbers na huku anajinasibu eti utafiti. Huu utafiti ni rubbish (kwa maneno ya Tundu).
Ni lini uliona CHAMA CHOCHOTE cha siasa kikajibu hoja ya FEDHA kwa namna mnavyotaka iwe?
Hivi hata sisi CCM tumewahi kufanya hivi?
Nilidhani CAG ambaye anatuwakilisha wananchi, anapaswa kuanika wazi maswala haya ya fedha zetu kwa mgongo wa ruzuku kwa vyama vyote!