Mbowe na ruzuku ya CHADEMA

Tunataka mchanganuo wa ccm hapa. Wao hela ya biashara zote zinatumikaje?
Mbona Bashiru aliyefanya audit wamemhonga kwa kumpa cheo ili afunge mdomo????
Hapo hakuna conflict of interest. Mtu anafanya tathmini ya biashara zako na kugundua madudu na mara anapewa cheo ili kumfunga mdomo!
Ccm ni balaa!
 
Hiyo yote ni set up ya ccm. Kila moja anatokaje leo kwa nini asitoke wakati wa JK kwa sababu hizo hizo. Tunaulizia ruzuku ya less than 300m kwa mwezi tunaacha kuuliza uwizi mkubwa unaoendelea katika ccm including nyumba za uma, bus stands, mabango, viwanja vya mpira and all shenanigans??? Rubbish!
Mbowe haondoki!!!
Tunajuashida tenu ni Mbiwe kuwa mwenyekiti wa chadema. Poleni!
 
Point of correction.... Polepole sio Mzee ana miaka 17 tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache Mbowe ajisemee mwenyewe.
Rukuzu ni shidaaa [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu kweli. Anaelalamika Mbowe anakula ruzuku ni Kapuku wa CCM. Amejuaje? Inamuuma nini? Kwanini wanataka Mbowe aondoke ili fedha za Chadema zisiliwe? Kwa wema upi walionao kwa Chadema?

Vulture mwebye huruma kwa zebra aliyejeruhiwa na tembo. Vulture anataka tembo amuache zebra apone asife ili aende zake.

Babaaaaaakooooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Chadema ni Moja tu, kuhisi wananchi ni Mazuzu, ya kwamba tutawapenda hata kwenye ujinga. Chadema imewadissapoint sana wananchi, kwa sasa hakuna mwananchi ambaye hata kwa kuchochewa ataingia barabarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Chadema ni Moja tu, kuhisi wananchi ni Mazuzu, ya kwamba tutawapenda hata kwenye ujinga. Chadema imewadissapoint sana wananchi, kwa sasa hakuna mwananchi ambaye hata kwa kuchochewa ataingia barabarani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona chadema imewa dissapoint wananchi, ccm ambayo iko madarakani toka uhuru lakini wananchi walio wengi bado masikini wa kufa mtu tusemeje? Si ndo uzuzu wenyewe huo wa kupindukia?

Ujinga mwingine huu umeropoka. Usitumie hisia.

Usikubali kudanganywa kama mwanamke malaya mwenye shida lukuki bila kuchanganya na zako!

Nchi itabakia kwenye maktaimu kwa akili kama zako.
 
Tujitaidi upande wa pili maana hali mbaya sana...1.5Trillion tumeping na hatujui hizo wanazokusanya maana siku hizi zinaenda kwa mkuu.
Unapunguza jumla ni 2.5Trillion toka ameingia Ikulu, ndio zimepotea, alianza na 1.0 Trillion mwaka unafuata anachota tena 1.5 Trillion
 

Huyu anajifanya mtafiti huku akificha baadhi ya takwimu muhimu. Ilichotaja ni kisasi gani cha ruzuku, wafanyakazi hewa waliopo makao makuu na ofisi za chama hizo. Kama kweli amefanya utafiti, angebainisha matumizi ya fedha kwa mwezi, kuwa mishahara ni kiasi gani, zinazokwenda kwenye ofisi kiasi gani, nk. Analeta hoja za uchaguzi ambazo hazina mashiko. Chaguzi ngapi zimefanyika tangu 2015 baada ya uchaguzi mkuu, na kiasi gani cha fedha kimetumika? Wewe unaonekana unatumia vibaya neno utafiti. Nenda ukajielimishe juu ya neno utafiti. Usimtetee mwizi, au ndo kama mnavyo mpamba Lowassa kuwa siyo fisadi, baada ya kumwita fisadi namba moja akiwa ccm?
 
Mkuu kuna utafiti gani hapo? Pesa inapigwa kwa kutumia kichaka cha posho.

Mbona hujaongelea suala la Mwenyekiti kukikopesha chama wakati wa uchaguzi na hulipwa baada ya ruzuku kuingia?

Pesa toka account ya wadhamini hutoka yote kuingia kwenye account ya chama ama kiasi hubaki kuwakimu wadhamini?

Tumekuwa tukiaminishwa kwamba mawakili hujitolea kumbe hulipwa?

Hata ningekuwa mimi Mbowe nisingetoka madarakani.
 
Hapa kuna amchanganuo gani umeuelewa...kweli mmezoea kudanganya watanzania..this time inakula kwenu..angaliajinsi watu wanavyotimkia ccm...hivi unadhani wote hawana akili...hahahahaha wajinga ndio waliwaooooo
Huyu makene ndio kaharibu kabisa. Matumizi ya fedha hayaongelewi kwa maneno matupu kama tamthilia bali huongelewa kwa figures. Anaweka kiasi cha ruzuku wanachopata lakini matumizi yameegemea maneno matupu bila numbers na huku anajinasibu eti utafiti. Huu utafiti ni rubbish (kwa maneno ya Tundu).
 
Ni UJINGA na UPUUZI mkuu kujibu kila propaganda unayotupiwa na mpinzani wako kwa sababu.

1. Zitakutoa katika hoja yako ya msingi unayoisimamia na hivyo kupoteza uelekeo wa kile unachokisimamia.

2. Katika ujibuji wa propaganda iliyoelekezwa kwako, mara nyingi huleta mianya zaidi katika jibu lako kwani kea ilivyo propaganda kadri unavyofunguka ndivyo unavyofungua mifereji ya mapungufu kwa adui yako kukushambulia zaidi.

3. Ukipigwa la kipropaganda na wewe tafuta la kipropaganda si kujibu hoja yake bali lipua sehemu ya adui yako ya mapungufu na si kujitetea namna hii!

Huu ni ushauri tu. Sie mlitupiga juu ya 1.5T, tukatulia tu, tukaibuka na hili lenu ya RUZUKU, nanyi mnaingia kichwa kichwa tu. Lazima tuchukue point.

Jifunzeni kwetu siasa ya maneno bwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…