Haki ni haki
Member
- Dec 17, 2012
- 60
- 11
Watanzania huenda wakijua biashara ya Mbowe na Lowassa watajiona wanavyo fanywa wajinga.
Na zaidi wanachama wa CHADEMA, Mbowe sasa ni Mungu mtu ndani ya chama kiasi cha kuwanyima haki ya kuwachaguwa wabunge wanao wahitaji katika majimbo yao.
Wakati majimbo ya Kaskazini akigawana na marafiki zake. Nchi inaingia matatani akifikiri nchi inaongozwa na mashairi yake jukwaani.