Mbowe na Dr Slaa, ombeni radhi ama mjiuzuru; tuhuma hizi ni nzito

WanaJF,

Ni nani kati yetu ambae ajasoma waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Dr Kitila?

Kama wote tumesoma na tumeelewa yaliyomo, ni kwanini wahusika wa zile tuhuma wajikaushe na kufanya mambo yaonekane kawaida?!

Kwa tafsiri ya kawaida, mtu anapo tuhumiwa kwa tuhuma fulani, na mtu huyo akikaa kimya, tafsiri yake ni kwamba amekubaliana na tuhuma.

Hivyo basi, vinara hao wawili wa CHADEMA (Mbowe na Dr Slaa) ambao wanakabiliwa na tuhuma nzito, kwa sasa wana options mbili, moja wawaombe wanachama na Watanzania kwa ujumla radhi ama wajiuzuru nafasi zao ili hatua za uchunguzi zichukuliwe.

Aidha, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichojipambanua kuwa ni adui wa ufisadi na unyonyaji wa namna yoyote.

Hivyo basi, ni wakati na fursa kuthibitishia Watanzania hilo. Vinginevyo, Watanzania kwenye hili hatuwezi kuwaelewa mpaka kieleweke.

Mwambie JK kwanza awaombe radhi watanzania kwa kulinda mafisadi,majangili na wauza unga
 
Dr. Slaa ni mwanasiasa pekee Tanzania ambaye hajawahi kuomba radhi hata siku moja.

Kila siku yeye hujiona yuko perfect...

Ni binadamu wa aina gani asiye na mapungufu?

Dr Slaa pamoja na kuwa kiongozi hodari kwa kiasi fulani, ila hilo la kujiona yuko perfect linamuharibia mno.

Ni vyema sasa kwa Dr Slaa na bosi wake, bwana Mbowe, wawaombe wanachama wao radhi ili kieleweke au wajiuzuru ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zao. Hapa mpaka kieleweke.
 
Mwambie JK kwanza awaombe radhi watanzania kwa kulinda mafisadi,majangili na wauza unga

Sio kazi ya rais kukamata au kushughulikia kwa namna yoyote mafisadi. Nakushauri urejee katiba ya jamhuri.
 
Hivi kuna uhusiano kati ya akili ya mtu na avatar yake??Nauliza tu naomba mnijibu Simiyu Yetu faizafox nawengineo!

Ndio la maana umeona uandike kwenye hii thread?!

Badala ya kujumuika nasi ili vinara wa CDM wanaokabiliwa na tuhuma nzito washughulikiwe, wewe unawaza Avatar?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ni vugumu sana kuibadili haru ya choo cha simo ili inukie kama ya manukato,

Hata ukimwagia debe zima la Tomford perfume bado utasikia harufu ya magogo tu
 
Ndio la maana umeona uandike kwenye hii thread?!

Badala ya kujumuika nasi ili vinara wa CDM wanaokabiliwa na tuhuma nzito washughulikiwe, wewe unawaza Avatar?

ndio lugha zao hawa wahuni wakishakosa hoja, utasikia mara buku saba, mara lumumba...lengo ni ku divert mjadala
 
WanaJF,

Ni nani kati yetu ambae ajasoma waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Dr Kitila?

Kama wote tumesoma na tumeelewa yaliyomo, ni kwanini wahusika wa zile tuhuma wajikaushe na kufanya mambo yaonekane kawaida?!

Kwa tafsiri ya kawaida, mtu anapo tuhumiwa kwa tuhuma fulani, na mtu huyo akikaa kimya, tafsiri yake ni kwamba amekubaliana na tuhuma.

Hivyo basi, vinara hao wawili wa CHADEMA (Mbowe na Dr Slaa) ambao wanakabiliwa na tuhuma nzito, kwa sasa wana options mbili, moja wawaombe wanachama na Watanzania kwa ujumla radhi ama wajiuzuru nafasi zao ili hatua za uchunguzi zichukuliwe.

Aidha, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichojipambanua kuwa ni adui wa ufisadi na unyonyaji wa namna yoyote.

Hivyo basi, ni wakati na fursa kuthibitishia Watanzania hilo. Vinginevyo, Watanzania kwenye hili hatuwezi kuwaelewa mpaka kieleweke.

Safi kabisa
 
Pumbaf kabisa!!!! Wewe kama nani ufuatilie mambo ya ndani ta CHADEMA!!!! Hujayaona madudu chungu nzima huko ndani ya chama chenu cha wauza unga, majangili, magaidi na mafisadi ambayo unastahili kuyafuatilia badala yake ukashupalie mambo yasiyokuhusu!?

asifuatilie kwa sababu chadema ni saccos ya ukoo?
 
WanaJF,

Ni nani kati yetu ambae hajasoma waraka wa mabadiliko ulioandaliwa na Dr Kitila?

Kama wote tumesoma na tumeelewa yaliyomo, ni kwanini wahusika wa zile tuhuma wajikaushe na kufanya mambo yaonekane kawaida?!

Kwa tafsiri ya kawaida, mtu anapo tuhumiwa kwa tuhuma fulani, na mtu huyo akikaa kimya, tafsiri yake ni kwamba amekubaliana na tuhuma.

Hivyo basi, vinara hao wawili wa CHADEMA (Mbowe na Dr Slaa) ambao wanakabiliwa na tuhuma nzito, kwa sasa wana options mbili, moja wawaombe wanachama na Watanzania kwa ujumla radhi ama wajiuzuru nafasi zao ili hatua za uchunguzi zichukuliwe.

Aidha, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichojipambanua kuwa ni adui wa ufisadi na unyonyaji wa namna yoyote.

Hivyo basi, ni wakati na fursa kuthibitishia Watanzania hilo. Vinginevyo, Watanzania kwenye hili hatuwezi kuwaelewa mpaka kieleweke.
hivi ni kweli zito kakubali kushabikiwa na wasio timamu kama wewe?
 
Pumbaf kabisa!!!! Wewe kama nani ufuatilie mambo ya ndani ta CHADEMA!!!! Hujayaona madudu chungu nzima huko ndani ya chama chenu cha wauza unga, majangili, magaidi na mafisadi ambayo unastahili kuyafuatilia badala yake ukashupalie mambo yasiyokuhusu!?

I got few words for you; if you're wise you will understand. Two wrongs don't make one right. Suala la kuwepo changamoto ndani ya CCM au kwenye serikali haitoi zuio kwa raia kujadili matatizo yaliyopo sehemu nyingine, mf yaliyopo CDM.

Nilitarajia watu wenye busara na hekima kama wewe ndio muwe mstari wa mbele kudai maelezo kutoka kwenye uongozi wa CDM dhidi ya tuhuma zao, eti wewe nae unakuwa miongoni wa wenye kutaka kufunga kombe?! Hapa mpaka kitaeleweka tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom