Selemani said:Nenda kaangalie website ya DUA and what they believe in, halafu njoo tena ujibu hoja. DUA, through global conservative coalition sponsors parties who believe in "free market economy and the policy of reducing the size and scope of government provide the best means of creating the wealth and material prosperity to meet the legitimate aspirations of individuals".
Hapo sawa mkuu. Umesema "Mheshimiwa Rais" akisafiri hata nchi jirani. Hujasema JK. Swali ni kwamba leo hii Mheshimiwa Rais akawa SLAA,, akaenda nchi jirani atakwenda na watu wangapi?Hivi unajua mheshimiwa Rais akisafiri hata nchi jirani huwa anaondoka na watu wangapi kweli?
Hakuna anayelipiza kisasi hapa,, tunatumia "logic" kutokana na comments za watu humu ili kuonyesha wkamba ni comments za kutumwa au za chuki binafsi. Logic ni kujiuliza kwamba kwa conditions zile zile, kibao kikabadilika,, watasema nini hawa? maana yake ni kwamba unapotoa comments humu usilete ushabiki, hoja zako ziwe valid kwa whoever is in the power. Iweje leo hoja hizo zimhukumu tu JK, na hoja hizo hizo zionekane sawa tu kwa mwingine. Common sense is not common.hivi does a mistake justify th mistake?
sijakuelewa mkuu ,so unalipiza kisasi cha jk kusemwa au unatoa facts?
Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana!
Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili.
Napita tu lakini wakuu.
Salimia,
Salamu toka Monrovia. Kama sikosei nilikwisha kufanya posting kwenye Jamvi hili kutoka hapa Monrovia tulipokuwa tu tumewasili hapa tarehe 9 Machi, 2011. Nilieleza kuwa tuko hapa na Mheshimiwa Mwenyekiti wa Taifa kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Democratic Union of Africa, (DUA) ambayo wengi wenu watakumbuka hadi 2009 Chadema ilikuwa Secretariat, na NPP ya Ghana ilikuwa mwenyekiti.
DUA ni Chapter ya Africa ya vyama vya mrengo wa "Centre Centre Parties" katika mfumo wa vyama vya siasa Duniani na wote tunaunganika katika International Democratic Union kwa Dunia nzuri. Wanachama ni pamoja na vyama tawala katika nchi zao na au vyama vya upinzani ikikumbukwa kuwa kutawala au kutokutawala kwa wanaoelewa demokrasia ni swala la kupokezana vijiti. Hivyo kinachotuunganisha ni "values" au mambo tunayosimamia katika jamii.
Kama nilivyosema huu ni mkutano wa Mwaka yaani Annual General meeting, na wajumbe ni wenyeviti na Makatibu wakuu. Si kosa lako inawezekana umechangia bila kufahamu Katiba ya umoja huo. Mkutano una sehemu kubwa mbili, Deliberative Session, ambayo theme yake ni "Re-bilding the blocks of Democracy in Africa". Mhe. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinani Bungeni alitoa Mada kuhusu "Consolidating Democracy -Tanzania Election and Aftermath".
Mkutano pia umejadili Trends zinaziojitokeza katika Demokrasia Afrika mifano ya Afrika Kaskazini, Ivory Cost,Kenya na Zimbabwe. Hakuna siri katika Democrasia na kesho Mkutanpo utatoa Tamko rasmi kutokana na mambo yaliyojitokeza katika deliberative Session. Sehemu ya pili na maswala zaidi ya uongozi wa umoja wenyewe Dua. Nadhani ulinganisho na upande mwingine ungelikuwa na maana iwapo "wakubwa" hao wangelikuwa wanahudhuria tu semina ambayo hata mtu mwingine angeliweza kuhudhuria.
Hivi Regia Mtema do you understand what a conservative ideology is? Kiitikadi Chadema haijulikani kwa sababu mnaficha makucha yenu. Au you are a nobody in the party kwa hiyo nobody tell u anything significant. The way Mtei and Mbowe run the party kama biashara ya kifamalia, the rest of u are as clueless as Jambo Forum members. .
U meant to say Center-Right Muheshimiwa. Not Center-Center. In light of transparency, tuambie hao wadau kutoka Norway na UK wana uhusiano gani na DUA--na Chadema.
And stop saying kwenye majukwaa kwamba unataka Tanzania iwe Tunisia. That is gross irresponsibility on your part. Words matters, and as u aspire to be a statesman, we would like if you pay attention to what u say Majukwaani. .
Mkuu salamu.Msiwe wepesi kuanza kulaumu kabla hamjapata taarifa za kutosha.Ulipaswa kwanza kuuliza details za huo mkutano sio kuunza kurusha mawe.Information is Power.
Mkutano ni wa Viongozi Wakuu wa Vyama Vya Kidemokrasia Vya Afrika(DUA)Democratic Union Of Africa.Unawahusu Viongozi Wakuu tu,Mwenyekiti na Katibu Mkuu na sio Wabunge wala Watendaji wengine.Wanahitajika watu ambao ni well informed kuhusu chama na wanafahamu background ya DUA.Wanapaswa kuwa wote ili wasaidiane sio mkutanoa wa kuwakilishwa. Vile Vile Hon Mbowe ameandaliwa hafla ndogo ya kumpongeza kwa kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni(KUB),kwahiyo kwa namna yeyote ile Mbowe supposed to be there.
Katika Mikutano yao yote huwa hakuna Perdiem isipokuwa Umoja huu hugharamia Usafiri,Chakula na Malazi.Unaenda na kurudi kama ulivyoenda bila fedha yeyote kutoka kwa waandaaji au wafadhili.
No Data No Right to Speech.
Kabla hujatoa mrorongo wa maneno ,inakupasa kufanya uchunguzi kwanza ni mkutano unahusu nini na ni nani mlengwa usipende kuongea sana.Usiwafananishe Mboye,Dr Slaa na JK anayeenda kutoa mada kwenye mkutano.Jiulize ni mara ngapi umesikia watu hawa wakisafiri pamoja?
Mkutano huo uliwahitaji wenyeviti na makatibu.Endelea kuanzia hapo.Be wise before you talk.
Salimia,
Salamu toka Monrovia. Kama sikosei nilikwisha kufanya posting kwenye Jamvi hili kutoka hapa Monrovia tulipokuwa tu tumewasili hapa tarehe 9 Machi, 2011. Nilieleza kuwa tuko hapa na Mheshimiwa Mwenyekiti wa Taifa kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Democratic Union of Africa, (DUA) ambayo wengi wenu watakumbuka hadi 2009 Chadema ilikuwa Secretariat, na NPP ya Ghana ilikuwa mwenyekiti.
DUA ni Chapter ya Africa ya vyama vya mrengo wa "Centre Centre Parties" katika mfumo wa vyama vya siasa Duniani na wote tunaunganika katika International Democratic Union kwa Dunia nzuri. Wanachama ni pamoja na vyama tawala katika nchi zao na au vyama vya upinzani ikikumbukwa kuwa kutawala au kutokutawala kwa wanaoelewa demokrasia ni swala la kupokezana vijiti. Hivyo kinachotuunganisha ni "values" au mambo tunayosimamia katika jamii.
Kama nilivyosema huu ni mkutano wa Mwaka yaani Annual General meeting, na wajumbe ni wenyeviti na Makatibu wakuu. Si kosa lako inawezekana umechangia bila kufahamu Katiba ya umoja huo. Mkutano una sehemu kubwa mbili, Deliberative Session, ambayo theme yake ni "Re-bilding the blocks of Democracy in Africa". Mhe. Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinani Bungeni alitoa Mada kuhusu "Consolidating Democracy -Tanzania Election and Aftermath".
Mkutano pia umejadili Trends zinaziojitokeza katika Demokrasia Afrika mifano ya Afrika Kaskazini, Ivory Cost,Kenya na Zimbabwe. Hakuna siri katika Democrasia na kesho Mkutanpo utatoa Tamko rasmi kutokana na mambo yaliyojitokeza katika deliberative Session. Sehemu ya pili na maswala zaidi ya uongozi wa umoja wenyewe DUA. Nadhani ulinganisho na upande mwingine ungelikuwa na maana iwapo "wakubwa" hao wangelikuwa wanahudhuria tu semina ambayo hata mtu mwingine angeliweza kuhudhuria.
Salimia kuna watu humu JF wao ni wakereketwa/wafurukutwa wa CDM yaani wao ni kuwa hakuna zuri la CCM na hakuna baya la CDM wao siku zote ni kupinga na kukashifu ccm na vyama vingine na kutukuza CDM. Ni vyema na wewe usijiunganishe nao kwa kupinga kila jambo la CDM na kutetea kila jambo la CCM. Hapo tukiviweka vyama vyote na wanasiasa wote ktk mizania iliyo sawa tutaipeleka nchi yetu sehemu sahihi.Naloli,, while agree with you in red but also when JK went to Ethiopia it was well known that: "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatano, Machi 9, 2011, anaungana na marais wenzake wa Afrika waliopewa jukumu la kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Ivory Coast, katika hatua za mwisho za jitihada za kujaribu kumaliza mgogoro huo.
Rais Kikwete na marais wenzake wanakutana mjini Addis Ababa, Ethiopia, katika jitihada mpya za kutafuta jawabu la mzozo huo uliolipuka mwishoni mwa mwaka jana kufuatia matokeo ya raundi ya pili ya uchaguzi wa Rais wa nchi hiyo uliofanyika Novemba 28, 2011."
But, ukiangalia comments za watu (walwale watakatifu na wateule) utashangaa sana.
Mtu kama Zegreaty aliandika "vp kaenda kutalii?"
nngu007 akaandika "Anaogopa kukaa nyumbani kusikiliza matatizo ya wananchi; Ni bora kwenda nje na kula vizuri"
CAMARADERIE akasema "Baba wa kufikia kwa kuwa mimba (kura) si yake"
Na mengine mengi tu na matusi juu just to quote a few here.
Point yangu ni ile ile kwamba,, huku kusema au kutuambia tufanye utafiti kabla ya kulalamika,, kuwiane na mlango wa pili pia. Watelule au malaika wa upande wa pili wao wamakurupuka tu na matusi juu, mbona huwa hamuwaambii wafanye utafiti pia? Tusilalamike tu kwa ujumbe au posts za kujifurahisha au kuchangamsha baraza kama hizo chache nilizozi quote hapo juu. Msumeno unakata kotekote mazee na huo unaowahusu SLAA na MBOWE ndiyo huo huo pia unamhusu JK na timu yake.
Napita wakuu
Hivi, kwanini asingekwenda kiongozi mmoja tu wa juu na mwingine akabaki? Au ndiyo uroho wa safari tu? Maana hapa akisafiri JK tu nongwa,, haya sasa hawa, mwenyekiti na katibu wote hao! Vipi tena hapa??? Ingeleta tija zaidi kama angekwenda Slaa na mtu kama Wenje au Mbowe na mwingine yeyote mpya kama Lissu aua Sugu ili kumjengea uzoefu wa kimataifa. Sasa magwiji yote mawili yanafuatana! Safari tamu jameni,, maana hapa tusimseme mwenzetu tu wa mlango wa pili. Ama labda kama kwa "Babu" dozi haikufua dafu wanafuata nyingine huko.
Napita tu lakini wakuu.
Naloli,Salimia kuna watu humu JF wao ni wakereketwa/wafurukutwa wa CDM yaani wao ni kuwa hakuna zuri la CCM na hakuna baya la CDM wao siku zote ni kupinga na kukashifu ccm na vyama vingine na kutukuza CDM. Ni vyema na wewe usijiunganishe nao kwa kupinga kila jambo la CDM na kutetea kila jambo la CCM. Hapo tukiviweka vyama vyote na wanasiasa wote ktk mizania iliyo sawa tutaipeleka nchi yetu sehemu sahihi.
Mwanasiasa akiboronga bila kujali chama atokacho apewe ukweli wake na kushutumiwa kwa uasi kwa Taifa lake lakini akifanya vizuri asifiwe bila kujali chama chake.
Ningekuwa wewe,, nisinge comment tena baada ya W.Slaa kutoa ufafanuzi wa kina na kwa lugha yenye staha. Ni kama unachafua kile ambacho kiongozi wako amekiongea kwa usafi. Hata lugha yako tu, ukilinganisha na aliyotoa W.Slaa, ni kama usiku na mchana kwa kifupi unamdhalilisha W.Slaa.Inategemea na mwaliko ulivyo...kama wanatakiwa viongozi wawili je? Halafu usilinganishe safari za JK na hizi...JK anatumia kodi zetu nyingi kwa safari moja...hawa wamepewa mwaliko...kukosoa safari zisizo tija za JK hakuzuii wengine kusafiri...ni sawa kujadili ajambaye chooni na yule ajambaye jikoni...si sawa
Ningekuwa wewe,, nisinge comment tena baada ya W.Slaa kutoa ufafanuzi wa kina na kwa lugha yenye staha. Ni kama unachafua kile ambacho kiongozi wako amekiongea kwa usafi. Hata lugha yako tu, ukilinganisha na aliyotoa W.Slaa, ni kama usiku na mchana kwa kifupi unamdhalilisha W.Slaa.
Ushauri: Kiongozi wenu mkubwa ameshatoa ufafanuzi,, sasa ninyi kaeni kimya msiharibu kile alichosema.
Inueni mioyo.
Kumbuka kuwa dhamana ya URAIS kapewa RAIS ingawa URAIS ni Taasisi, hatasiku moja nchi ikiendeshwa ndivyo sivyo hawatolaumiwa wasaidizi bali atalaumiwa aliyepewa jukumu hilo, ndio maana viongozi maRais makini hawaendi safari za nje kama watalii, wanajua wazi uzito wa majukumu ya Rais hata siku moja Rais hawezi kutegemea wasaidizi wake ktk mambo mazito ya nchi anapaswa kujua wazi kuwa hilo ni jukumu lake yeye, kumbuka hakuna jambo zito ktk uongozi kama kufanya uamuzi (decision) ndio maana katiba imetoa msamahaa wa Rais kushtakiwa kwa makosa atakayoyafanya wakati wa kutekeleza majukumu yake ya Urais (kwa maslahi ya Taifa) uhuo msamaha hauwagusi wasaidi wake ingawa URAIS NI TAASISI(Salimia fukunguka macho). Hata Mwl. Nyerere alipaswa kusema kuwa "Urais ni mzigo maana ukiona ombaomba barabarani, Nyumba za nyasi na zisizo bora, Baa la njaa ktk nchi wote huo ni mzigo wa Rais maana yeye ndiye aliye ahidi kuwaondolea matatizo yote hayo na kupewa dhamana hiyo na watu wake"Naloli,
Hapo palipo wekundu,, ni kujua huko huko kwamba urais ni taasisi na si mtu mmoja, itakupa maana kwamba si lazima Rai abaki nchini kutekeleza jukumu fulani, basi "taasisi" itatekeleza on his absence. Sasa hii taasisi tunaitambua tu kwa yeye kusafiri nje?? Vipi kubaki ndani?
Pia unasema kwamba waziri wa mambo ya nje anaweza kumuwakilisha,, hilo ni kweli,, sasa nani kakwambia kwamba waziri wa mambo ya nje anakwenda peke yake bila watu? Acha kukurupuka.
Nitarudi