Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Naunga mkono hoja 100% hainawezekani viongozi kukaa kimya kama hawaoni, hii ni double standard!
 
In short nimempigia simu Mnyika na kasema atahakikisha anacontrol situation, Zitto hapokei simu. Dr Slaa na Mbowe sijazoeana nao.
Busara hii ndiyo ambayo mimi niliitegemea kutoka kwako... Sasa posti yako imejaa madudu unayoyalalamikia.. Bila shaka ungekuwa katika nafasi ya lema ungefanya ujinga ule ule? KUKUKOSOA HATA KWA UKALI SI KUKUDHARAU!.
 
Halafu wewe ni nani mpaka utoe saa 24....Hujui makao makuu ya chama uende huko ukatoe hilo dukuduku lako...?

Muulize Mnyika na wanachama wa chadema sinza.
 
sifongo

Ni kweli kabisa, hawa watu wa chadema inaonesha wameshiba ruzuku zinazotokana na kodi tunazokatwa kwenye mishahara yetu na biashara zetu wanaanza kutunishiana misuli. Tusiruhusu

Masalia/magamba mna tabu sana....Unajifanya unakuja kama malaika kumbe ni mbwa mwitu mwenye njaa kali...
 

Apana, nimesema binafsi nina matatizo na Zitto ila lazma tuheshimu viongozi. Haiweezekan yericko anakurupuka kuweka risiti kuanza kumshushia tuhuma zitto, ni utoto afate taratibu
 
Last edited by a moderator:
Kwa haya yaliyotokea CDM wameisha jivua nguo.
Na inaonekana na jinsi gani viongozi wa ngazi za juu jinsi walivyo na upendeleo.
 
Kwa hiyo wewe msemaji wa ZITTO? Amesemwa ZITTO umechukia... Angesemwa John Mnyika, josephine mshumbusi ama Slaa ungeleta utumbo huu?

Mkuu mimi hata akikosea Rais namkosoa, mimi ni muajiri wake, chadema kina jasho langu.
 
Apana, nimesema binafsi nina matatizo na Zitto ila lazma tuheshimu viongozi. Haiweezekan yericko anakurupuka kuweka risiti kuanza kumshushia tuhuma zitto, ni utoto afate taratibu
Yeriko ni mtu kama wewe... Ukitoa tuhuma si kauli ya CHADEMA...
 
hahaha, kamati kuu ya CCM imetoa masaa 24 kwa Mh. Mbowe na Dr,Slaa, loh, hii kali ya mwaka.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…