Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada kakimbia,tabia za nyumbani kwake anataka kuleta cdm,njoo na ID mpya...
 
Huyo hatumtaki jamani,na nyie muda umekwisha,mchukuane mwende wana kwenda,kwaherini dada zangu..na mumsalimie Shonza.

Amini nakwambia,Iko siku Dr Slaa atatuelewa na siku akishtuka tu ndio utakuwa mwisho wa opportunists,aristocracy ndani ya Chama.Trust me my friend,this day is not that far.
 
Usihofu, Sixgates kashaanza kufanya kile alichosema atafanya.

Subiri matokeo...
 
Usihofu, Sixgates kashaanza kufanya kile alichosema atafanya.

Subiri matokeo...

Sawa, ila bado namuona 'around'...!!!
Ana sua-sua kuchukua 'maamuzi magumu'...!!
Vipi, labda sixgates ni muoga kama kuku....!!
Yaani, bado namuona, anashindwa kutekeleza amri zake mwenyewe...!!!
Anahitaji motisha...????
Go man, Go ...!!
 
Last edited by a moderator:
Mleta hoja ni kanda mkuukuuuuuuu wa liCCM kwa sababu zifuiatazo..

hajui katiba ya CHADEMA inataja mamulaka ya nidhamu kwa kila ngazi ya uongozi, kwa yshauli tuu andika lalamiko lako kwa kamati kuu.
 
Sawa, ila bado namuona 'around'...!!!
Ana sua-sua kuchukua 'maamuzi magumu'...!!
Vipi, labda sixgates ni muoga kama kuku....!!
Yaani, bado namuona, anashindwa kutekeleza amri zake mwenyewe...!!!
Anahitaji motisha...????
Go man, Go ...!!

Mkuu nipo sijakimbia, nimeanza kuchukua hatua katika level za chini, nitaweka hadharani maamuzi yangu.
 
Last edited by a moderator:
Dr slaa na mbowe wamejidharirisha sana kwenye hili.
 
Amini nakwambia,Iko siku Dr Slaa atatuelewa na siku akishtuka tu ndio utakuwa mwisho wa opportunists,aristocracy ndani ya Chama.Trust me my friend,this day is not that far.

Hivi ilikuwa 24 hrs AU 24 days!?
 
Zitto ni shetani tu. Hata chama kikifa kwa ajili yake sawa.
 
wewe zoba kweli, kiongozi makini hakurupuki. Unayemsemea hajapeleka malalamiko ktk uongozi ili vikao vishughulikie, wewe unalalama na kutishia nyau kwa nn ? Ondoka na hao unaowafikiria mbona hujazuiwa. Utabakia kuwa kibaraka tena bila malipo. Mbowe na slaa hawawezi kuingia ktk mtego uliochoka huo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…