Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,732
Bombadia au Dar express?
Bombadia au Dar express?
Mwambie aliekataa kumpa mwenzie mkonoMisiba na harusi daima inatuweka pamoja
Kwani watu wote wenye sifa za uongozi Tanzania wameisha.Huu ni upuuuzi, yaani viongozi wote hao wanasafiri ndege moja, God forbids ila ikitokea ajali hapo kwishney!!
Unataka afe nani wa kwanza ili wengine wabaki tajaHuu ni upuuuzi, yaani viongozi wote hao wanasafiri ndege moja, God forbids ila ikitokea ajali hapo kwishney!!
Tunabana matumizi.Huu ni upuuuzi, yaani viongozi wote hao wanasafiri ndege moja, God forbids ila ikitokea ajali hapo kwishney!!
Kaa kimya, kwenye ajali ya ndege kuna survivors?? Umiza kichwa kidogo.Unataka afe nani wa kwanza ili wengine wabaki taja
duh sijakuelewa mkuu...very sucumumbium
Hii ni ile Bombadear?
anamaanisha antizobanganaishaduh sijakuelewa mkuu...
duh bado njia panda mkuu,tumieni lugha ya taifa basi mana sijaelewa..anamaanisha antizobanganaisha
ndyo mkuu,ndani ya bombadier umoo.hiyo ni bombadier..?