Emmanuel simon
Member
- May 3, 2016
- 94
- 65
Hayo ndiyo ya wanasiasa,mwananchi ukiyaingilia kichwa kichwa utajikuta hunamiguu,au mikono wakati mwingine hata kuvunjwa mbavu,mwisho wa siku ni kama unavyowaona MWENYEKITI na Naibu hapo kwenye chombo.
Walipie tu serikali ipate kodi si kunakubana matumizi by mkulu!ndyo mkuu,ndani ya bombadier umoo.
nadhani watakuwa walipia mkuu..Walipie tu serikali ipate kodi si kunakubana matumizi by mkulu!
Yaani hawa watu ni wasanii,si kama vile tuwadhaniavyo.duh bado njia panda mkuu,tumieni lugha ya taifa basi mana sijaelewa..
ah...nmeelewa mkuu.Yaani hawa watu ni wasanii,si kama vile tuwadhaniavyo.
Mwenzao ananyea ku ndooni
wao bat a bat aani