Kamanda hawatoi tena Ukawa bungeni.
Hata mi nimemwelewaUMENENA vyema
Wewe ni Jinga wewe 😀😀😀Daah kifua cha Tulia kilivyoelekezwa kwa Mbowe sasa!
Teh teh.....noma sana.Kamanda hawatoi tena Ukawa bungeni.
Exactly .WAZIRI MKULU HANA STORI NA NKEWE
HAKUNA ADUI WA KUDUMU WALA RAFIKI WA KUDUMU
Huu ni upuuuzi, yaani viongozi wote hao wanasafiri ndege moja, God forbids ila ikitokea ajali hapo kwishney!!