Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,829
Reaction score
40,370
Mbowe na CHADEMA kwa ujumla pamoja na upinzani wote msife moyo jueni kwamba kinachotokea ni maigizo pia ni utumiaji wa rasilimali za taifa dhidi ya wenye taifa ambao ni wananchi acheni malaya waende kwao muda ni mwalimu mzuri watu wanaimani na nyie mnoooo huo ndio ukweli mnachokiona nu vitisho vya dola dhidi ya uhuru ni kama kuwekewa jambia shingoni na kuambiwa ubadili dini au ule kisu wachache watakubali kula kisu ila walio wengi watabadili kwahiyo msife moyo hata kidogo wema haujawahi kuanguka haki haijawahi kuuwawa ukweli utadumu kwamba watu wanalazimishwa kimabavu kuunga juhudi mawe ila ipi siku tutakuwa huru na haya yatabaki historia.
 
Mh mbowe na chadema kwa ujumla pamoja na upinzani wote msife moyo jueni kwamba kinachotokea ni maigizo pia ni utumiaji wa rasilimali za taifa dhidi ya wenye taifa ambao ni wananchi acheni malaya waende kwao muda ni mwalimu mzuri watu wanaimani na nyie mnoooo huo ndio ukweli mnachokiona nu vitisho vya dola dhidi ya uhuru ni kama kuwekewa jambia shingoni na kuambiwa ubadili dini au ule kisu wachache watakubali kula kisu ila walio wengi watabadili kwahiyo msife moyo hata kidogo wema haujawahi kuanguka haki haijawahi kuuwawa ukweli utadumu kwamba watu wanalazimishwa kimabavu kuunga juhudi mawe ila ipi siku tutakuwa huru na haya yatabaki historia.
Mungu akubariki sana Mkuu
 
Wanataka watupangie nani awe mwenyekiti washindwe na walegee
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
 
Sijaelewa mkuu pasco sijakuelewa labda lile bandiko LA IQ za wabarbaig wahadzabe wagogo nk linaniathiri fafanua
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P

Huenda hayo matamanio au matarajio yako yakafikiwa, lakini Nakuhakikishia watu wamebadilika sana kwa sasa. Sioni haya matumizi mabaya ya madaraka ya urais yakifanikiwa kuiua cdm zaidi ya kuiharibia haiba yake. Uzuri hata hao wanaosemwa kwenda kuunga mkono juhudi za jamaa wa kwenu 95% walikuwa wanaccm hivyo wanarejea walikotoka.

Uongozi wa cdm wanapaswa kulaumiwa kwa hali hii yakuwapokea wanaccm wakiongozwa na Lowassa na kuwapa nafasi za kugombea huku wakiwaacha wanachama wake halisi.Tulipiga kelele sana kuhusu Shibuda baada ya kuleta mauzauza, lakini inaonekana cdm hawakujifunza kosa wakarudia kosa na sasa linawaharibia haiba yao. Kama huu ni mwaka wa tatu wa kidictator na cdm haijafa, huku ccm ikitarajia matumizi mabaya ya madaraka ya urais kujitangaza washindi, basi cdm itatoboa kwa uhakika. Jaribu kuangalia idadi ya wapiga kura ilivyo ndogo na kilio cha katibu mkuu wa ccm ndio utajua ccm inajifariji tu kwa muda mfupi.

Mkuu hilo jicho lako linaloona mbali ndio lile liliona Lowassa atakuwa rais au umebadili jicho siku hizi?
 
Kamwe usitarajie ukiwazacho

Ingekua ni kufa kwa cdm ingetosha mwaka kuimaliza

Ninyi ni wasomi ila mnazidi kuliangamiza taifa badala mlikomboe
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
mayala utazama wewe na wanafiki wengine wafananao na wewe, upinzani hauwezi kuzama. Ivi wewe umesoma wapi hata ushindwe kutambua kuwa upinzani ni imani? Au unatafuta uteuzi maana nafasi bado zipo. Kwasasa hueleweki unasimamia mini.
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Nahodha kukiacha chombo sio rahisi yuko ngangari .kwa maana vita alivyopigwa na akashinda ni vingi mno kuanzia na club,gazeti,shamba,hotel,jela ,siasa ,wadhifa wa uenyekiti na bado yupo .usishangae ndio maana mabilioni yanatumika sasa kwa manunuzi na chaguzi za marudio .ukweli ni kwamba huyu Nahodha sio wa mchezo mchezo . Sio siri Huyu Mbowe ni mfano wa Baba wa taifa Mwl Nyerere hakuna kuyumbishwa iwe jua au mvua .
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Kamwe jahazi halitakuja kuzama, liko imara na nahodha mahiri analiongoza..
 
Hilo jicho lako ni la kizandiki unayaona ya upinzani tu wakati liccm lenu nalo linaenda msobe msobe?

Ebu jaribu kufuatilia hotuba ya katibu wenu Bashiru jana ndiyo uje na hilo jicho lako kwa cdm
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P

Ukitaka kujua hiyo akili inayotaaka kuia cdm haitofanikiwa zaidi ya kuihujumu cdm, kaulize faida na hasara inayopatikana kwa kununua ndege zilizopo. Kama uliambiwa tunawadai Barrick $190b na mpaka sasa hatujapewa hata senti, na kila siku unaambiwa mpaka sasa kuna viwanda 3,000+ toka awamu hii iingie madarakani na hivyo viwanda havijawahi kuonekana, basi subiri akili hiyo hiyo iiue cdm.

Na ukitaka kujua uwezo wa hiyo akili ya kuia cdm ilipofikia na uwezo wake kisiasa basi kasome magazeti ya Tanzanite, jamvi la habari nk. Hapo ndio utajua hiyo akili kama ina uwezo wa kuia cdm au la. Kikubwa akili hiyo inachoweza na ilichofanikiwa mpaka sasa ni sehemu zote zinazohitaji matumizi nguvu na sio ya akili.
 
Back
Top Bottom