Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
unamaanisha Kamanda mbowe jahazi lake ndiyo linazama na atauachia usukani???Hata mimi nilishawahi kuwaza hivi kipindi ambacho sikua naifahamu vyema chadema na mbowe !hilo hatokaa litokee katika nchi hii
 
Huenda hayo matamanio au matarajio yako yakafikiwa, lakini Nakuhakikishia watu wamebadilika sana kwa sasa. Sioni haya matumizi mabaya ya madaraka ya urais yakifanikiwa kuiua cdm zaidi ya kuiharibia haiba yake. Uzuri hata hao wanaosemwa kwenda kuunga mkono juhudi za jamaa wa kwenu 95% walikuwa wanaccm hivyo wanarejea walikotoka.

Uongozi wa cdm wanapaswa kulaumiwa kwa hali hii yakuwapokea wanaccm wakiongozwa na Lowassa na kuwapa nafasi za kugombea huku wakiwaacha wanachama wake halisi.Tulipiga kelele sana kuhusu Shibuda baada ya kuleta mauzauza, lakini inaonekana cdm hawakujifunza kosa wakarudia kosa na sasa linawaharibia haiba yao. Kama huu ni mwaka wa tatu wa kidictator na cdm haijafa, huku ccm ikitarajia matumizi mabaya ya madaraka ya urais kujitangaza washindi, basi cdm itatoboa kwa uhakika. Jaribu kuangalia idadi ya wapiga kura ilivyo ndogo na kilio cha katibu mkuu wa ccm ndio utajua ccm inajifariji tu kwa muda mfupi.

Mkuu hilo jicho lako linaloona mbali ndio lile liliona Lowassa atakuwa rais au umebadili jicho siku hizi?
huyo pasco asome na akuelewe kama isemavyo biblia
 
Mh mbowe na chadema kwa ujumla pamoja na upinzani wote msife moyo jueni kwamba kinachotokea ni maigizo pia ni utumiaji wa rasilimali za taifa dhidi ya wenye taifa ambao ni wananchi acheni malaya waende kwao muda ni mwalimu mzuri watu wanaimani na nyie mnoooo huo ndio ukweli mnachokiona nu vitisho vya dola dhidi ya uhuru ni kama kuwekewa jambia shingoni na kuambiwa ubadili dini au ule kisu wachache watakubali kula kisu ila walio wengi watabadili kwahiyo msife moyo hata kidogo wema haujawahi kuanguka haki haijawahi kuuwawa ukweli utadumu kwamba watu wanalazimishwa kimabavu kuunga juhudi mawe ila ipi siku tutakuwa huru na haya yatabaki historia.
Ni chadema hukohoko ambako mwenyekiti ni wa milele, ni chadema hukohuko mwenyekiti huchagua nani apewe nafasi gani katika chama, ni chadema huko huko mwenyekiti ana haki ya kuchagua demu yeyote katika chama na kumtunuku nafasi yoyote uku akimtafuna taratibu. Ni chadema uko uko ambako kuna baadhi ya kikundi kidogo cha wabunge/wapambe ambao wanalamba viatu vya mwenyekiti/ kujikomba ili wafaidike na uwepo wa mwenyekiti huyo.
Hiyo mijamaa inashuhudia kwa macho uvundo/uchafu wa mwenyekiti (DJ) lakini wanavumilia ili matumbo yao ya neemeke.

Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu aka iunga mkono Chadema. Kama wewe una akili timamu na unatathmini mambo kwa kina hauwez ukawaamin chadema. Ukiona mtu anashabikia utawala wa kidikteta uliopo ndani ya chadema basi kwa namna moja au nyingine utakua unafaidika nao.
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P

Kwani wanapanga kumuua? Maana mbinu za kumdhoofisha ili anyooshe mikono zimegonga mwamba.
 
Ni chadema hukohoko ambako mwenyekiti ni wa milele, ni chadema hukohuko mwenyekiti huchagua nani apewe nafasi gani katika chama, ni chadema huko huko mwenyekiti ana haki ya kuchagua demu yeyote katika chama na kumtunuku nafasi yoyote uku akimtafuna taratibu. Ni chadema uko uko ambako kuna baadhi ya kikundi kidogo cha wabunge/wapambe ambao wanalamba viatu vya mwenyekiti/ kujikomba ili wafaidike na uwepo wa mwenyekiti huyo.
Hiyo mijamaa inashuhudia kwa macho uvundo/uchafu wa mwenyekiti (DJ) lakini wanavumilia ili matumbo yao ya neemeke.

Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu aka iunga mkono Chadema. Kama wewe una akili timamu na unatathmini mambo kwa kina hauwez ukawaamin chadema. Ukiona mtu anashabikia utawala wa kidikteta uliopo ndani ya chadema basi kwa namna moja au nyingine utakua unafaidika nao.

Na hakuna mwenye akili timamu akaunga mkono fisiem, watu wanasajiliwa at gun point na kufanyiwa usodoma. What a shithole party!
 
Ni chadema hukohoko ambako mwenyekiti ni wa milele, ni chadema hukohuko mwenyekiti huchagua nani apewe nafasi gani katika chama, ni chadema huko huko mwenyekiti ana haki ya kuchagua demu yeyote katika chama na kumtunuku nafasi yoyote uku akimtafuna taratibu. Ni chadema uko uko ambako kuna baadhi ya kikundi kidogo cha wabunge/wapambe ambao wanalamba viatu vya mwenyekiti/ kujikomba ili wafaidike na uwepo wa mwenyekiti huyo.
Hiyo mijamaa inashuhudia kwa macho uvundo/uchafu wa mwenyekiti (DJ) lakini wanavumilia ili matumbo yao ya neemeke.

Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu aka iunga mkono Chadema. Kama wewe una akili timamu na unatathmini mambo kwa kina hauwez ukawaamin chadema. Ukiona mtu anashabikia utawala wa kidikteta uliopo ndani ya chadema basi kwa namna moja au nyingine utakua unafaidika nao.
pia ukiona mtu anafurahia kubishana kwa hoja na c risasi ujue anafaidika na risasi hizo ukiona MTU anateka watu kijambazi ujue yeye ni jambazi na anafaidika na ujambazi huo ukiona MTU anafukuza watu waliotumikia taifa kwa miaka 60 kwenye utumishi wa uma bila DOA na bila kuwalipa kisa. Tu ifumo yako ya kudhibiti fojari ilikuwa dhaifu ujue wewe ni mchawi na jambazi ibilisi
 
mayala utazama wewe na wanafiki wengine wafananao na wewe, upinzani hauwezi kuzama. Ivi wewe umesoma wapi hata ushindwe kutambua kuwa upinzani ni imani? Au unatafuta uteuzi maana nafasi bado zipo. Kwasasa hueleweki unasimamia mini.
Mayalla ni neutral hujamjua tuu
 
Ni kweli na neutrality yake inamfanya achukiwe kotekote japo ana elements nyingi zaidi za kuegamia kule kwa "mayala"
Nakuongezea hujamjua ,Rais alipoapishwa yeye ndo aliuliza swali gumu ,mkuu hakujibu vyema akaishia kusema kikwao mayala ni njaa
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Na sisi wenye jicho la nne tunaona hatari kubwa sana huko kunakofanyika maigizo ya kuungana mikono juhudi zisizotoa nafuu ya maisha kwa mtanzania wa kawaida,juhudi ambazo hakuna kiwanda viable hata kimoja japo tuliambiwa inji yetu ingekuwa ya viwanda.Mnaweza mkajitia moyo kwa sasa kuwa jahazi(institution)inazama na kweli inaweza ikawa hivyo.Ila sisi tulioko kwenye ground kwa maana ya field tunaona tofauti kabisa.Ile idadi ya wapiga kura wa mwaka 2015 Inaongezeka kwa kasi kuliko mimi na wewe tunavyofikiri.Wafanyabiashara hawako happy,walimu hawako happy,watumishi wa umma hawako happy,ajira kwa vijana hakuna,wakulima ndo usiseme kabisa.Muda utasema,lakini ni kichaa tuu ndo anaamini kuwa kuna juhudi kubwa za kumtoa mbongo kwenye lindi la umaskini.
I have always admired you Paschal lakini kwa haya yanayoendelea jahaz linaweza likazamishwa kama taasisi japo upinzani(kwa maana ya state/condition) unakua na uko tayari kuchukua jahazi lingine kama Chauma na APPT-maendeleo.
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Sema huwa unatabiri baada ya muda inakuwa..watakutukana ila ihifadhi hii maktaba
 
Hakika KAMANDA sema wanajifany
Nahodha kukiacha chombo sio rahisi yuko ngangari .kwa maana vita alivyopigwa na akashinda ni vingi mno kuanzia na club,gazeti,shamba,hotel,jela ,siasa ,wadhifa wa uenyekiti na bado yupo .usishangae ndio maana mabilioni yanatumika sasa kwa manunuzi na chaguzi za marudio .ukweli ni kwamba huyu Nahodha sio wa mchezo mchezo . Sio siri Huyu Mbowe ni mfano wa Baba wa taifa Mwl Nyerere hakuna kuyumbishwa iwe jua au mvua .
a kutokujua ila ukweli wanao
 
"Do not stop learning because life never stop teaching" - tunasubiri ujio wa nahodha wa CDM - siasa si vita ni mbinu, mkakati na uwezo

Kiongozi mzuri atatoka CCM - Mwl. Nyerere
 
"Do not stop learning because life never stop teaching" - tunasubiri ujio wa nahodha wa CDM - siasa si vita ni mbinu, mkakati na uwezo

Kiongozi mzuri atatoka CCM - Mwl. Nyerere
Siasa tz ni vita usidanganye watu uliza waliokatwa vichwa na makoromeo na risasi 38 ndio wanajua siasa tz ni vita omba tu yasikukute

Na kumbuka mama yake akwilina akwilin wakati analia kwa mwanawe kupigwa risasi alilia huku anasema

*nilikuwa nasikia haya yakitokea kwa wengine Leo yametokea kwangu*

Wakati analia hivi yule mama ndalichaco alienda kumpa pole kinafiki ogopa sana siasa za Tanzania
 
Chadrama fyeeeeka mbali walahi
 
Back
Top Bottom