Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Mh mbowe na chadema kwa ujumla pamoja na upinzani wote msife moyo jueni kwamba kinachotokea ni maigizo pia ni utumiaji wa rasilimali za taifa dhidi ya wenye taifa ambao ni wananchi acheni malaya waende kwao muda ni mwalimu mzuri watu wanaimani na nyie mnoooo huo ndio ukweli mnachokiona nu vitisho vya dola dhidi ya uhuru ni kama kuwekewa jambia shingoni na kuambiwa ubadili dini au ule kisu wachache watakubali kula kisu ila walio wengi watabadili kwahiyo msife moyo hata kidogo wema haujawahi kuanguka haki haijawahi kuuwawa ukweli utadumu kwamba watu wanalazimishwa kimabavu kuunga juhudi mawe ila ipi siku tutakuwa huru na haya yatabaki historia.
MNATAPATAPA SASA MAJI YAMEFIKA SHINGONI. POLENI. BADILINI VIONGOZI WAJE NA FIKRA MPYA
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Mtangoja sana
 
Huo ndio ukweli na sisi wananchi tunaujua. Chadema ni mkombozi. Hilo na Magufuli analijua in out
 
Tatizo wanahabari siku hz mnatumwa kuponda upinzani... wewe ulivyoenda kamati ya maadili ulipewa mifano ya wanahabari wanaokimbia nchi na wanaotekwa Ukawa mpole.
Kwa sasa hauna tofauti na demu aliyebanwa na vibaka gizani...(ukiombwa voda unatoa, ukiombwa tigo unatoa.. Hata ukiombwa safaricom na hujawahi kuitumia bado utatoa.
Nyie ndio vijana mwl nyerere angekuwa anategemea leo...(wehu kweli
Nini kinakuvutia kwenye manunuzi?
Ha ha haa... Hyo voda na safaricom ni nini mkuu?
 
Chadrama fyeeeeka mbali walahi
Siku yakikufika utatafuta mtetezi hutampata amin nakwambia kauli hii IPO siku utaijutia hata mama yake akwilina hakujua lini jànga litaidondokea familia yake
 
MNATAPATAPA SASA MAJI YAMEFIKA SHINGONI. POLENI. BADILINI VIONGOZI WAJE NA FIKRA MPYA
MNATAPATAPA SASA MAJI YAMEFIKA SHINGONI. POLENI. BADILINI VIONGOZI WAJE NA FIKRA MPYA
MNATAPATAPA SASA MAJI YAMEFIKA SHINGONI. POLENI. BADILINI VIONGOZI WAJE NA FIKRA MPYA
MNATAPATAPA SASA MAJI YAMEFIKA SHINGONI. POLENI. BADILINI VIONGOZI WAJE NA FIKRA MPYA
Mbona mrema wa Tlp na cheyo wa udp wamekaa muda mrefu zaidi kuliko Mh Mbowe na hamsemi? Tumewashtukia mnataka kuweka mamluki wenu pale kama mlivyofanya kwa cuf bara
 
yaan raia wa nchii hii me nawashangaa sana. wanashilikiana na chama tawala kuukandamiza upinzani. nawasikitikia sana, hawajui maovu mengi yanchi hii wapinzani ndyo wameyaibua!!! sasa ngoja wakiue chama pinzani(cdm) alafu waone watakavyoishi kama vichaa'' mm haka nahama zangu nchi kabla cjawa kichaa
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
"NJAA " MAYALA HIYO INAITWA RAMLI CHONGANISHI
 
Ukiona wameanza kufikiria kulazimisha katiba za vyama ziwe na ukomo wa uongozi ujue hiyo sheria so ya mwingine Bali ya MBOWE. MBOWE ndio kiboko ya sisiem.
Kama kweli Mbowe angelikuwa "kiboko" ya CCM tusingeshuhudia "wimbi" la Wabunge na Madiwani wa CHADEMA wakihamia CCM, badala yake tungeona Wabunge wa CCM wakihamia CHADEMA. Kwa kifupi ni kwamba Mbowe kazi imemshinda na soon very soon CHADEMA inapotea kabisa kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Bado kitambo kidogo CHADEMA itabakia kuwa historia, mark my words mkuu.
 
Hilo jicho lako ni la kizandiki unayaona ya upinzani tu wakati liccm lenu nalo linaenda msobe msobe?

Ebu jaribu kufuatilia hotuba ya katibu wenu Bashiru jana ndiyo uje na hilo jicho lako kwa cdm
....
.....huyo kashalewa mapuya Mkuu
 
Kama kweli Mbowe angelikuwa "kiboko" ya CCM tusingeshuhudia "wimbi" la Wabunge na Madiwani wa CHADEMA wakihamia CCM, badala yake tungeona Wabunge wa CCM wakihamia CHADEMA. Kwa kifupi ni kwamba Mbowe kazi imemshinda na soon very soon CHADEMA inapotea kabisa kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Bado kitambo kidogo CHADEMA itabakia kuwa historia, mark my words mkuu.
.....
.....hii ndo kati vibobo tulivyonavyo TZ
 
Kama kweli Mbowe angelikuwa "kiboko" ya CCM tusingeshuhudia "wimbi" la Wabunge na Madiwani wa CHADEMA wakihamia CCM, badala yake tungeona Wabunge wa CCM wakihamia CHADEMA. Kwa kifupi ni kwamba Mbowe kazi imemshinda na soon very soon CHADEMA inapotea kabisa kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Bado kitambo kidogo CHADEMA itabakia kuwa historia, mark my words mkuu.
Chadema itaweza kufa kwa hila za kidola so kwa mapambano ya hoja ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika viwanja sawa. Chadema itakufa kwa mabavu ya watawala si kwa utashi wa wananchi katika masanduku ya kura katika uchaguzi huru na haki. By the way, Waitara, au sijui nani wa Ukerewe kuhamia CCM unalinganisha na kuhamisha Mawaziri wakuu 2 kwa wakati mmoja. Unadhani ni rahisi kumyumbisha mtu kama Kingunge (Mungu amlaze mahali stahiki) bila kuwa kuwa na kitu substantial? Unadhani ni rahisi serikali kukiri kuwa kweli mpinzani kapata kura milioni 6. Jua hapo ni baada ya kukamata kitengo cha majumuisho cha UKAWA. Tusijitie upofu na kujitoa ufahamu. Hebu kuwa serious unapo to a hoja zako. To be frank MBOWE hashindani na CCM Bali anapambana CCM+NECCM+POLICCM+TSSM.
 
Alichokiongelea Mayala sio upinzani bali ni CHADEMA!
Wote waliosema chadema itakufa wao ndio walikufa kisiasa refer Wasira, kwa uchache ila ni wengi sana. Na kumbuka ukiitukana chadema teuzi unapewa kirahisi sana. Hapa napo wapo wengi waliopata fursa. Huyo mayala anatafuta fursa, anajua akiitaka cuf au nccr hawezi kupata dili.
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Tapeli kisiada that brain you had during the kiti moto era has been washed becouse of tumbo lako i hate a petson ninayemjuwa kama wewe anapocondone dhuluma na ulaanike zaidi ya laana zilizowahi kukupata your just a nosense watu wanavuruga demokrasia nchini kwa ukabila wako unaona ni sawa kafie mbali na propaganda za kijinga lucifer mkubwa
 
Back
Top Bottom