Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Mbowe na CHADEMA msife moyo hata kidogo

Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Ni kweli mkuu dhoruba ni kali, lakini hata zikibaki mbao kumi imara zitaanzia kukiimarisha chombo ufukweni kuliko gharama za kuanza moja.
 
Lengo la jiwe ni kuua cdm ili awe huru kubadili katiba aweze kutawala milele kama wenzie - kagame na m7.. Afu watu wanashabikia uovu huo.

Udiktekta haujawahi kuacha nchi yoyote salama
 
Lengo la jiwe ni kuua cdm ili awe huru kubadili katiba aweze kutawala milele kama wenzie - kagame na m7.. Afu kuna watu wanashabikia uovu huo.

Udiktekta haujawahi kuacha nchi yoyote salama
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Jamani muoneeni huruma huyu jamaa na Dk Bana ni zamu zao kuula.
 
Ni chadema hukohoko ambako mwenyekiti ni wa milele, ni chadema hukohuko mwenyekiti huchagua nani apewe nafasi gani katika chama, ni chadema huko huko mwenyekiti ana haki ya kuchagua demu yeyote katika chama na kumtunuku nafasi yoyote uku akimtafuna taratibu. Ni chadema uko uko ambako kuna baadhi ya kikundi kidogo cha wabunge/wapambe ambao wanalamba viatu vya mwenyekiti/ kujikomba ili wafaidike na uwepo wa mwenyekiti huyo.
Hiyo mijamaa inashuhudia kwa macho uvundo/uchafu wa mwenyekiti (DJ) lakini wanavumilia ili matumbo yao ya neemeke.

Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu aka iunga mkono Chadema. Kama wewe una akili timamu na unatathmini mambo kwa kina hauwez ukawaamin chadema. Ukiona mtu anashabikia utawala wa kidikteta uliopo ndani ya chadema basi kwa namna moja au nyingine utakua unafaidika nao.
Bora niwe taahira typically kwa kuiunga mkono chadema kuliko kuwa genious kwa ccm
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Tatizo wanahabari siku hz mnatumwa kuponda upinzani... wewe ulivyoenda kamati ya maadili ulipewa mifano ya wanahabari wanaokimbia nchi na wanaotekwa Ukawa mpole.
Kwa sasa hauna tofauti na demu aliyebanwa na vibaka gizani...(ukiombwa voda unatoa, ukiombwa tigo unatoa.. Hata ukiombwa safaricom na hujawahi kuitumia bado utatoa.
Nyie ndio vijana mwl nyerere angekuwa anategemea leo...(wehu kweli
Nini kinakuvutia kwenye manunuzi?
 
Kwa sisi wenye jicho linaloona mbali, naziona kila dalili za kuzama kwa jahazi, na kikawaida, nahodha ndiye anatakiwa kuwa mtu wa mwisho kujiokoa baada ya wengine wote kutoka, na hata ikibidi kuzama na chombo chake, lakini kwenye hili jahazi, naziona dalili ya nahodha kuachia usukani na kukiacha chombo kuzama mazima.
It's only a matter of time.
P
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia uliyoyaona wewe. Huu upepo unapita tu na pepo za kisiasa huwa hazitabiriwi kama zile za asili
 
Ukitaka kujua hiyo akili inayotaaka kuia cdm haitofanikiwa zaidi ya kuihujumu cdm, kaulize faida na hasara inayopatikana kwa kununua ndege zilizopo. Kama uliambiwa tunawadai Barrick $190b na mpaka sasa hatujapewa hata senti, na kila siku unaambiwa mpaka sasa kuna viwanda 3,000+ toka awamu hii iingie madarakani na hivyo viwanda havijawahi kuonekana, basi subiri akili hiyo hiyo iiue cdm.

Na ukitaka kujua uwezo wa hiyo akili ya kuia cdm ilipofikia na uwezo wake kisiasa basi kasome magazeti ya Tanzanite, jamvi la habari nk. Hapo ndio utajua hiyo akili kama ina uwezo wa kuia cdm au la. Kikubwa akili hiyo inachoweza na ilichofanikiwa mpaka sasa ni sehemu zote zinazohitaji matumizi nguvu na sio ya akili.
Pascal ni mtu wa kumpuuza maana analazimisha sana teuzi kutoka kwa watawala ila wamemchunia
 
mayala utazama wewe na wanafiki wengine wafananao na wewe, upinzani hauwezi kuzama. Ivi wewe umesoma wapi hata ushindwe kutambua kuwa upinzani ni imani? Au unatafuta uteuzi maana nafasi bado zipo. Kwasasa hueleweki unasimamia mini.
Alichokiongelea Mayala sio upinzani bali ni CHADEMA!
 
Ni chadema hukohoko ambako mwenyekiti ni wa milele, ni chadema hukohuko mwenyekiti huchagua nani apewe nafasi gani katika chama, ni chadema huko huko mwenyekiti ana haki ya kuchagua demu yeyote katika chama na kumtunuku nafasi yoyote uku akimtafuna taratibu. Ni chadema uko uko ambako kuna baadhi ya kikundi kidogo cha wabunge/wapambe ambao wanalamba viatu vya mwenyekiti/ kujikomba ili wafaidike na uwepo wa mwenyekiti huyo.
Hiyo mijamaa inashuhudia kwa macho uvundo/uchafu wa mwenyekiti (DJ) lakini wanavumilia ili matumbo yao ya neemeke.

Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu aka iunga mkono Chadema. Kama wewe una akili timamu na unatathmini mambo kwa kina hauwez ukawaamin chadema. Ukiona mtu anashabikia utawala wa kidikteta uliopo ndani ya chadema basi kwa namna moja au nyingine utakua unafaidika nao.
Una akili ndogo kuliko mdudu aitwaye KOMBA MWIKO
 
Ni chadema hukohoko ambako mwenyekiti ni wa milele, ni chadema hukohuko mwenyekiti huchagua nani apewe nafasi gani katika chama, ni chadema huko huko mwenyekiti ana haki ya kuchagua demu yeyote katika chama na kumtunuku nafasi yoyote uku akimtafuna taratibu. Ni chadema uko uko ambako kuna baadhi ya kikundi kidogo cha wabunge/wapambe ambao wanalamba viatu vya mwenyekiti/ kujikomba ili wafaidike na uwepo wa mwenyekiti huyo.
Hiyo mijamaa inashuhudia kwa macho uvundo/uchafu wa mwenyekiti (DJ) lakini wanavumilia ili matumbo yao ya neemeke.

Kwasasa hakuna mtanzania mwenye akili timamu aka iunga mkono Chadema. Kama wewe una akili timamu na unatathmin.
wewe utakuwa unashare dela na mama mkwe wako kabisa...
Taja kitu ambacho chadema wamefanya wakairudisha nyuma nchi hii?... CHADEMA Hawajaua viwanda, hawamo kwenye escrow+epa+richmond+1tr n.k.
Huu ujinga wako usijekuwahusisha watoto wako.. Watakuwa wajinga zaid yako.
Watekaji nyie.
 
Ubeberu!
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia uliyoyaona wewe. Huu upepo unapita tu na pepo za kisiasa huwa hazitabiriwi kama zile za asili
Inawezekana upepo ukaambatana na kumbunga!
 
Alichokiongelea Mayala sio upinzani bali ni CHADEMA!
Chadema ni mtawala?... unapoua chadema kwa sasa maana yake unaua upinzani, kuna CUF wanaivuruga na LIPUMBA wao au wewe huoni?
UDP,NCCR,ACT,TLP n.k mbona hawana muda nao?... sababu wanajua mpinzani mkuu ni CHADEMA bara, Zanzibar CUF..
Unapotetea tetea vzr mjukuu wa polepole
 
Back
Top Bottom