Mbowe, Mwigamba watwangana ngumi Arusha

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corridor Spring iliyopo karibu na Kibo Palace Arusha. Hii ni baada ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu.

Polisi wameshafika kuokoa jahazi

===========

UPDATE - Oktoba 27, 2013

Kutoka Mwananchi:

Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corido sipring iliyopo karibu na Kibo palase Arusha hii nibaada

Ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu polisi wameshaa fika kuokoa jahazi

weka picha
 
Namuonea huruma Samsoni Mwigamba, atafukuzwa chama kwa nini asingekuwa kama kina Mwita Maranya.
 
mkuu wanapigana ngumi au mito, fafanua vizuri..
 
Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corido sipring iliyopo karibu na Kibo palase Arusha hii nibaada

Ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu polisi wameshaa fika kuokoa jahazi
Mungi, @crushwiser, Arushaone, PakaJimmy njooni mtoe taarifa sahihi za kutwangana huko Arusha
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corido sipring iliyopo karibu na Kibo palase Arusha hii nibaada

Ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu polisi wameshaa fika kuokoa jahazi

Kuandika kwenyewe taabu maskini.. Kwa utumikaji huu hata kondomu ina uafadhali..
 
Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corido sipring iliyopo karibu na Kibo palase Arusha hii nibaada

Ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu polisi wameshaa fika kuokoa jahazi

Kuchangia maada ya kipuuzi nawe unakua mpuuzi,kwa kua nimechangia nami huenda ni mpuuzi,lakini kwa kua nimegundua upuuzi wa mleta uzi huu nami naishia hapa ili nisiwe mpuuzi zaidi.
 
Mbowe na Samsoni mwigamba mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha wanapigana kwenye hoteli ya Corridor Spring iliyopo karibu na Kibo Palace Arusha. Hii ni baada ya Mwigamba kumtuhumu Mbowe kuendesha chama kiundugu.

Polisi wameshafika kuokoa jahazi
Crashwise njoo huku
 
@Aminangalo

Bila shaka utatakiwa kutoa ushahidi wa habari ya uzushi kama hii. Muda huu, Mkiti wa Taifa, Freeman Mbowe yuko kwenye kikao. Hakuna kitu kama hicho ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…