Mbowe; Maandamano Hapana

Mbowe; Maandamano Hapana

Watanzania wanawaza mitikasi ya pesa hizo siasa za wanaharakati wanaozijua ni nyinyi wachache sana mliomo humu jamvini.

Humpeleki mtu Muhimbili akatibiwe MOI wakati anajua kuwa Mbowe na washirika wake wachache ndio wanaofaidika moja kwa moja na mabilioni ya pesa za wafadhili wenu wa Ulaya na Marekani.
Kauli za UWT utazijua kama hizi, usiwajumuishe na wanaume tafadhali
 
Chawa unajifanya una hasira kuliko boss wako Mbowe. Katangaza mbele ya waandishi wa habari kwamba maandamano yanasubiri mazungumzo ya viongozi wa baraza la maaskofu na serikali.
Tumia basi akili yako hata nusu tu...........watu wanatekwa na kuuliwa.....wewe unakuja na bandiko la aina hii... 😡
 
Tumia basi akili yako hata nusu tu...........watu wanatekwa na kuuliwa.....wewe unakuja na bandiko la aina hii... 😡
Kuandamana kunaondoa vipi huko kutekwa na kuuliwa?.

Kuna uhusiano gani kati ya wewe kupita barabarani umebeba mabango na hao wauaji kuacha hiyo hulka dhalimu ya kuua watu?
 
Eti rais anayo nia njema ya kukomesha utekaji na mauaji?. Binafsi sioni kwa mipasho hile. ......kwamba wanajiteka,. Kifo ni kifo....hamna nia ya dhati pale.
 
Watanzania wanawaza mitikasi ya pesa hizo siasa za wanaharakati wanaozijua ni nyinyi wachache sana mliomo humu jamvini.

Humpeleki mtu Muhimbili akatibiwe MOI wakati anajua kuwa Mbowe na washirika wake wachache ndio wanaofaidika moja kwa moja na mabilioni ya pesa za wafadhili wenu wa Ulaya na Marekani.
Umekazana wafadhili wafadhili una ushahidi kuna wafadhili nje? Wataje? Mpuuzi we
 
Tatizo ni kutekwa na kuuliwa.....ndio wanachopinga..
Kazi nzito kupinga mauaji, yanazo sababu nyingi na sio za kisiasa pekee.

Wamekufa watu wangapi kuanzia awamu ya tano mpaka leo hii?. Mauaji huwa na sababu nyingi ukiachana na yule anayeuliwa pengine kuwa na mahusiano na siasa.
 
Kweli wamekufa watu wengi sana ..........ila kwa hili la maandanamo , hapa Chadema wanapinga kuhusu viongozi wao waliotekwa na wengine kuuliwa.......issue hapa ni siasa ....rejea kauli zao
 
Hio ni baada ya serikali lako la dikteta mama samia kufanya kazi...yana mwisho..
Siamini kwamba Rais mwenye uwezo wa kuhudhuria mkutano mkuu wa CHADEMA na kumpa ushirikiano Mbowe na kwenda kumuona Lissu akiwa kalazwa hospitali kule Nairobi, kwamba anaweza kuidhinisha kufanyika mauaji ya mmoja wa watu wa CHADEMA. Siamini kabisa.

Huu ni mwaka wa uchaguzi na mwakani pia hivyo kuchafuana kisiasa ni mbinu zinazotumika ili kumtia doa Rais wa sasa.
 
Back
Top Bottom