Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

Niandamane kwasababu ipi hasa katika uongozi huu wa awamu Bora zaidi....Labda kama kuna maandamano ya kumuunga mkono Rais katika katika jitihada zake za dhati kabisa za kurudisha nidhamu ya nchi kwenye mstari.......Nitakuwa mstari wa mbele kabsaaaaaaaaaaaa..... Ila kwa haya mengine hakuna maslahi yoyote ya Taifa...... Kuna nchi zinatamani kupata kiongozi kama huyu makini......
Exactly
 
Lowasa amesema chama kime gladuate kwa iyo atokuwepo kwenye harakati
 
Hayo tulikuwa tunayaweza na dokta Slaa.
Lowassa kashasema hataki maandamano.
 
kumbuka uko nyuma ya KEYBOARD,unaona umejifichaaaaaaaaa
Sasa unampiga mkwala kwani kasema kitu gani kibaya yeye kaomba tu kina Mbowe, Sumaye, Lowassa, pamoja na familia zao waungane pamoja kwenye maandamano yeye atakuwa katikati yao, ni jambo zuri.
 
Sasa unampiga mkwala kwani kasema kitu gani kibaya yeye kaomba tu kina Mbowe, Sumaye, Lowassa, pamoja na familia zao waungane pamoja kwenye maandamano yeye atakuwa katikati yao, ni jambo zuri.
Utashangaa sana hawa watu
 
Nipo tayari kuandamana endapo Mbowe ,Lowassa,Sumaye na wake zao na watoto zao watatangulia mbele Mimi niwe katikati yao !!

Nipo tayari nipo tayari maana hata Dr Slaa Tuliandamana naye akiwa na mke wake akapigwa akavunjwa mkono na mke wake akaumia kichwa lakini

Mwishowe mbowe ulimkata Dr Slaa kwenye uchaguzi ulipita

Mimi sitaki unikate tangulia twende wote!!!
kwahiyo na wewe utakuja?
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
Hata kwenye vita ya Iraq sikumuona bush kwenye uwanja wa mapambano
 
kwani Nyerere alitangulia mstari wa mbele vita ya alioitangaza ya Tanzania na Uganda ??
Ulishawahi kumuona Bush na Obama mstari wa mbele ??
Kwani kwenye hiyo vita iliyotangazwa,kati ya serikali na maadui, Magu naye atakua mstari wa mbele ??
Tatizo la makada wa CCM IQ ndogo kuanzia chini hadi yule impulses wao..
Nasikia pale Magogoni napo patauzwa !!
lakini bado makamanda hawashindwi kutangulia mbele..
 
kwani Nyerere alitangulia mstari wa mbele vita ya alioitangaza ya Tanzania na Uganda ??
Ulishawahi kumuona Bush na Obama mstari wa mbele ??
Kwani kwenye hiyo vita iliyotangazwa Magu naye atakua mstari wa mbele ??
Tatizo la makada wa CCM IQ ndogo kuanzia chini hadi yule impulses wao..
Nasikia pale Magogoni napo patauzwa !!
Hivi wewe Tanzania inapigana vita na Nani??
We ndo mjinga kwa kwanza usiyefikiri!!
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
Watoto wa mwalimu akiwemo Makongoro walienda vitani Uganda,tena Makongoro alienda vitani bila baba yake kufahamu kama Makongoro yupo Uganda.

Angalau yeye watoto wake walienda vitani,tunataka na viongozi wa chadema na familia zao ,pia wabunge wote wakiwemo wa viti maalum washiriki maandamano.
 
Back
Top Bottom