Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

WATU MNAONGEA TU HUMU ILA UKWELI MTAANI HAKUNA RAHA HATA NYIE WENYE KAZI ZENU HAMNA RAHA MMEKALIA UNAFIKI TU NA WENGI WENU NI KULA KULALA ILA KIMOYO MOYO HAMPENDEZWI NA HALI ILIVYO......OK TOKA TUMEAMBIWA TUFANYE KAZI...KWANI HAPO MWANZO TULIKUWA KULA KULALA.....
NI MATAMKO MANGAPI YAMESHASEMWA YAMESABABISHA VIJANA WENGI KUFUNGA NA KUPOTEZA VIBARUA VYAO....
kaanadamane basi sio unabwabwaja humu mtandaoni.
 
Siku zote sisi maskini ndio wakombozi wa taifa sababu hatumwogopi mtu nasema tena 1mwezi wa 9 police wajiandae na mizinga kabisa maana mabomu ya machozi risasi za moto hazitasaidia kitu

Andaa na urithi
 
Watoto wa mwalimu akiwemo Makongoro walienda vitani Uganda,tena Makongoro alienda vitani bila baba yake kufahamu kama Makongoro yupo Uganda.

Angalau yeye watoto wake walienda vitani,tunataka na viongozi wa chadema na familia zao ,pia wabunge wote wakiwemo wa viti maalum washiriki maandamano.
Mkuu upo lyt they have to be realistic
 
Wamefanya siasa za maandamano miaka 15 sasa lakini wao na familia zao hawajwahi kuchubuka hata unywele wakati watoto wa wengine wakifa, kuumizwa na kulemaa. Watu wa ajabu kwelikweli
Vurugu+Chadema-Mke+Slaa.jpg

Inaelekea wanaotangulizwa ni wenye moyo kweli lakini wanachukuliwa kama maboya!
 
Nipo tayari kuandamana endapo Mbowe ,Lowassa,Sumaye na wake zao na watoto zao watatangulia mbele Mimi niwe katikati yao !!

Nipo tayari nipo tayari maana hata Dr Slaa Tuliandamana naye akiwa na mke wake akapigwa akavunjwa mkono na mke wake akaumia kichwa lakini

Mwishowe mbowe ulimkata Dr Slaa kwenye uchaguzi ulipita

Mimi sitaki unikate tangulia twende wote!!!

Naunga mkono hoja ila hapo kwa dr slaa umenena uongo
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?

Kumbuka kuwa pale ilikuwa ni nchi na nchi na Nyerere alikuwa Rais. Sasa hapa ni vyama vya siasa ambapo Dj kila saccos inapoitisha maandamano yeye analala mbele.
 
Maandamano ambayo yanaruhusiwa kisheria unaona fahari kujisifia kumvunja mkono kiongozi? Ni upu.mbavu wa kiwango cha juu

Ruhusa hamjapewa. Mkiandamana mtakuja kuwasimulia wajukuu zenu.
 
Sasa wewe umeambiwa maandamano nchi nzima, Hugo Mbowe atakuwepo kila mahali?

Kiongozi mzuri ni yule anayeongoza kwa mifano. Dr. Slaa alikuwa anaingia front mwenyewe. Safari hii Mbowe, Sumaye na Lowassa wawe mstari wa mbele kwenye maandamano hapo September 1.
 
Back
Top Bottom