Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

tutakwenda wenyewe mbele wewe kama hutaki hakuna atakaekulazimisha, chadema hatulazimishani hukiona watu wanaandama wamejitokeza kwa hiyari yao. mambo ya kulazimishana ni ccm.
 
We unaishi dunia gani, ushawahi ona kamanda anatangulia mbele vitani yeye yuko nyuma kupanga strategy. Hata ktk kundi la nyuki wa mwisho kufa ni malkia baada ya wapiganaji wote kuangamia. Mbowe atakuwa anafanya makosa ya kimkakati kuongoza maandamano yayosubiriwa na askari wenye hasira na virungu mikononi.
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
Maandamano ni kutembea tu hakuna kubeba bunduki lazima washiriki. Wanaogopa nini?
 
Siku zote sisi maskini ndio wakombozi wa taifa sababu hatumwogopi mtu nasema tena 1mwezi wa 9 police wajiandae na mizinga kabisa maana mabomu ya machozi risasi za moto hazitasaidia kitu
Katika Raia ambao hatajitokeza wewe ni mmoja wapo.
Kelele zako ni kama za wale wa pambano la ngumi style zao. Flani akae chonjo nitampiga round ya kwanza.
 
We unaishi dunia gani, ushawahi ona kamanda anatangulia mbele vitani yeye yuko nyuma kupanga strategy. Hata ktk kundi la nyuki wa mwisho kufa ni malkia baada ya wapiganaji wote kuangamia. Mbowe atakuwa anafanya makosa ya kimkakati kuongoza maandamano yayosubiriwa na askari wenye hasira na virungu mikononi.
Dr Slaa na Mke wake walikuwa wanaongoza maandamano ya Chadema kule Arusha

Tunamtaka pia Mbowe na Lowasa watangulie
 
We unaishi dunia gani, ushawahi ona kamanda anatangulia mbele vitani yeye yuko nyuma kupanga strategy. Hata ktk kundi la nyuki wa mwisho kufa ni malkia baada ya wapiganaji wote kuangamia. Mbowe atakuwa anafanya makosa ya kimkakati kuongoza maandamano yayosubiriwa na askari wenye hasira na virungu mikononi.
Kwahiyo asila ziishie kwa watoto wa maskini sio?
 
Back
Top Bottom