Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Mbowe: Lowassa ni dhaifu, ni bubu

Status
Not open for further replies.
lowasa ni vizuri akapumzika na kuendelea kupata pension yake ya uwaziri mkuu mstaafu japo hakustahili. watanzania masikini wa fedha lakini matajiri wa fikra hawako tayari kuona ikulu yao inamilikiwa na mapacha watatu kamwe. lowasa sio bubu tu bali hafai kwenye taasisi nyeti kama ya urais..
 
Kweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah mapana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapigaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.
 
Wakati wa sakata la escrow angeweza kumsema swahiba wake na pacha mwenzake nyoka wa makengeza kweli?

Wakati anajua alikuwa akihemea kwenye fuko lao la kuhonga

Si ajabu chenge akaja kuwa PM baada ya EL kupata uprezida
 
kweli el ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah pana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapifaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili el na yeyote awaye toka ccm hana sifa kuwa rais wetu.

big point mzee
 
Hii kauli inaashiria mengi.Sijui yupi mkweli hapa.Yawezekana mission imekuwa impossible Kati ya Chadema na EL
 
Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,

Inawezekana kabisa Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama unavyokukera wewe na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.

Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi ambapo kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.
 
sizitaki mbichi hizi duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom