Cyangungu
Member
- Nov 7, 2019
- 45
- 54
Tumeshuhudia chaguzi za kuwapata Viongozi wa Chama unachokiongoza Chadema katika ngazi mbalimbali kote Nchini zoezi ambalo limeendelea vyema;hongera!
Lakini hili jambo la shutuma za eti Viongozi wengi waliochaguliwa hasa nafasi za Wilaya na Mkoa ni wa Kabila la kutoka kaskazini ni habari zinazoogofya sana!
Kwa unyenyekevu mkubwa kama jambo hilo ni la kweli basi nakuomba ndugu M/kiti wakati mwingine kwa ushawishi wako pendekeza uwapo mseto wa Uongozi na si iwe ni wakutoka eneo moja pekee na ikiwezekana ingekuwa vyema wazawa wa eneo husika kupewa kipaumbele.
Mfano pale Morogoro INGEPENDEZA MKUDE NA MALISA wakawa VIongozi mseto nasi MALISA na MINJA pekee!Hakika wakosoaji wa kikabila mnawapa nafasi ya kupata hoja ya kukisema vibaya Chama kwamba ni cha kikanda.
Kwa mantiki hiyo naamini nimeeleweka.