Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.

Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni

Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!

Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Ubwabwa
 
WakuuMsiwaamini wanasiasa hta chembe,
Lolote linaweza kutokea na sitashangaa hata kidogo,
Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
Muda ni Mwalimu,kunakaribia kupambazuka
 
Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.

Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni

Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta!!

Nawaonya waliopo kwenye mkakati huu wote wataanguka
Duh!! Watu mpo mbele ya muda sana
 
Bodguard wake si alishatangulia hivyo ni suala la muda tu
 
Back
Top Bottom