Mbowe kuongea na waandishi wa habari

Nimepata taharifa kuwa Mh Mbowe atazungumza na waandishi wa habari kuanzia mida ya saa tano, vipi mbona kimya? Kama kuna mwenye kujua kinachoendelea atupatie updates please.
 
KWANINI WASIWAKAMATE MAFISADI WANAKAMATA VIONGOZI WA CDM MI NAONA MAHAKAMA IMEJEUZWA CHOMBO CHA CCM KUKISUMBUA CDM CHAGUO LA WATZ WAPENDA AMANI HAKI USAWA WACHUKIA UFISADI. HIVI HAO MAFISADIS HAWAJULIKANI KWANINI WASIFUNGULIWE KESI. CCM ISIPOANGALIA 2015 HAWAFANYIA KAMPENI CHOONI.:mod::mod::mod:NAWAKILISHA WADAU
 
Makamanda wa Chadema si wapo kwanini anakuwa na hofu na polisi, tushikamane kumlinda kiongozi wetu.
 
Huyu Mwenyekiti wa Chadema mbona anakuwa muhuni hivi jamani, kila siku kwenye maandamano yenu unasema Mafisadi wote wapelekwe mahakamani, leo wewe una kesi mahakamani utaki kwenda mahakamani tena cha ajabu kesi ipo mahakamani wewe unaenda kuliongelea na waandishi wa habari huu ni upuuzi kwa kweli, nchi hii inaongozwa utawala wa sheria sio Rigmarole Mbowe, unatafuta Sympathizer kutoka kwa waandishi wa habari, utapata kutoka Tanzania Daima
 
This is an experiment on people power, Report ya kiinteligensia inaonyesha hapatatosha.:A S 103:
 
Huyu Mwenyekiti wa Chadema mbona anakuwa muhuni hivi jamani, kila siku kwenye maandamano yenu unasema Mafisadi wote wapelekwe mahakamani, leo wewe una kesi mahakamani utaki kwenda mahakamani tena cha ajabu kesi ipo mahakamani wewe unaenda kuliongelea na waandishi wa habari huu ni upuuzi kwa kweli, nchi hii inaongozwa utawala wa sheria sio Rigmarole Mbowe, unatafuta Sympathizer kutoka kwa waandishi wa habari, utapata kutoka Tanzania Daima
Hivi laptop kwa kila mwanafunzi wa secondary zimeshaagizwa?
 
Serikali ya kizembe sana mtu anadharau mahakama waziwazi mnaremba.UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA subirini mtaona
 
Lini ulimuunga mkono wewe ilihali unamagamba mwili mzima na hujayatoa na huelewi uyatoe vipi.MBOWE anaungwa mkono na waelewa walikombolewa kifikra hao kwa tz ya leo wapo na kila kukicha wanaongezeka wewe endelea kulala na ubongo wako uliolala.
 
Serikali ya kizembe sana mtu anadharau mahakama waziwazi mnaremba.UKICHEKA NA NYANI UTAVUNA MABUA subirini mtaona
 
Nani atakuwa tayari kumshabikia mtu anayevunja sheria na kumbe yeye mwenyewe ni mpiga vuvuzela nje kuwa utawala wa sheria ufuatwe...kumbe hamna kitu kabisa.............yani wajinga wachache wataharibu unyoofu wa wengi.
Mbona yupo lissu na marando kwa nn wasimsaidie hata kuhusu sheria

Wakati Jakaya, Mkapa na Familia zao watakapopanda Kizimbani after 2015
ntantafuta comments zako nione zikoje
 
Another Mandela has come, freedom is comming tomorrow:dance: From the court to prison to statehouse. Amantdlah

Wewe ebu punguza pumba zako. unafananisha mlima kilimanjaro na mlima tegeta, Mbowe si Mchagga tu wa Machame nani anamjua kwenye hii Dunia labda wewe na wenzako wa Chadema
 
Wakuu mwenye updates zozote kama Mbowe ameshaongea au wamemkamata atujulishe,maana saa hizi ni already saa 7
 
Shame on you , mnafiki usiyejua matatizo ya watanzania, na jinsi serikali hii corrupt inavyotumia sheria kukandamiza na kuhujumu haki za watanzania kweupee! Mambo mangapi ya ovyo wamefanya polisi..zombe yupo wapi..mauji ya arusha..,mauji ya huko mgodini?
 
Napenda wana jf tuzungumzie maendeleo mya mbowe katika jimbo lake. na utekelezaji wa ahadi zake.
Kama shele aliahidi kule RUNDUGAi kuwa atajenga fom 5 na 6 je, atatekeleza?
 
hawa viongozi wetu wasi wakujali siasa zaidi ya maendeleo wazunguke sana lakini wahakikishe maendeleo majimboni mwao yanafanyika. ili tusiwahukumu 2015
 
Napenda wana jf tuzungumzie maendeleo mya mbowe katika jimbo lake. na utekelezaji wa ahadi zake.
Kama shele aliahidi kule RUNDUGAi kuwa atajenga fom 5 na 6 je, atatekeleza?

Yule ni kamanda, usijali 2014 nenda lazima utaikuta. Hajawahi kutoa ahadi hewa. Ndio maana aliondoka, aliporudi akamtoa mpangaji wa CCM.
 
Back
Top Bottom