Yes I declare interest Mimi nilikua chadema, uchaguzi wa 2015 niligombana na watu wangu wa karibu because nilikua naipenda chadema na nilitaka ishinde, 2020 niligombana na mke wangu because of chadema, tuliongozana wote kwenda kupiga kura tukakubaliana tuichague chadema lkn alivoingia kupiga kura akawapa ccm ikiwa vita ndani although alitumia haki yake ya kikatiba
Tukirudi kwenye kesi ya Mbowe naunga mkono Mbowe kupewa kesi hata kama ni ya kutengeneza kwa sababu kuu moja
Baada ya kifo cha JPM mama alishika hatamu hapo ndo chadema wakaibuka na hoja ya katiba mpya wakaanza kuhamasisha watu waandamane wadai katiba mpya. Wakati huo mama ni mgeni kwenye majukumu yake anatakiwa aseti mipango kuongoza nchi mbowe yupo Mbeya na kina Mdude nyangali ambae akitoka gerezani kwa mkono wa mama wakaanza kumkejeli mama Eti kiwembe kilichomnyolea mtangulizi wake kitamnyoa mama hivi kweli jamani
Ilikua ni lazima Mbowe akae ndani kuhamisha akili za chadema kutoka katiba mpya mpaka kuhangaikia kumtoa mwenyekiti na kwa hili washauri wa mama wamefanikiwa kama ni suala la katiba mpya litakuja kufanyika lakini ni hapo baadae baada ya mama kufanikiwa kutengeneza anayotaka kuyaacha kama legacy yake kwenye nchi hii
Najua chadema watanitukana saana maana ndo kawaida yao karibuni