Mbowe kufungwa ni sahihi

Chadema hakuna nidhamu ndo maana chama kinagawanyika ndo maana kila anaetoka chadema bila kuangalia tatizo nini mnaimba usaliti tu hebu angalia mwenyekit miaka na miaka hatoki kwani chadema haina watu wengine watakaokuja na new ideas

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wewe ni mccm na hujawahi kuwa Chadema, achana na Chadema jadili ya chama chenu cha kishetani,koma kabisa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwanza sijui Kwa nini mahakama inasubiri nini!? Mbowe anatakiwa kuwa ndani sasa hivi. Na isipingue miaka saba. Aliunda genge kutaka kumuua Sabaya, halafu hatunzi ndoa yake yaani kutwa Na yule Mdada kamama Tail. Halafu serikali inamvumilia tu. Pia amekua Mwenyekiti dikteta wa lichama lao kala ruzuku ya bilioni saba halafu hata kujenga ofisi ya maana chumba kimoja tu hakuna. Wanan’ang’ania kwenye jumba bovu pagala siku liwaangukie pale muanze kulaumu serikali. Yaani Mbowe mjinga sana AFUNGWE HARAKA MIAKA SABA.
Cc POVU NA MATUSI RUKSA SABABU NDIO SERA YA MACHADEMA KWA SASA. Hovyooo
 
Yes I declare interest Mimi nilikua chadema, uchaguzi wa 2015 niligombana na watu wangu wa karibu because nilikua naipenda chadema na nilitaka ishinde, 2020 niligombana na mke wangu because of chadema, tuliongozana wote kwenda kupiga kura tukakubaliana tuichague chadema lkn alivoingia kupiga kura akawapa ccm ikiwa vita ndani although alitumia haki yake ya kikatiba

Tukirudi kwenye kesi ya mbowe naunga mkono mbowe kupewa kesi hata kama ni ya kutengeneza kwa sababu kuu moja

Baada ya kifo cha JPM mama alishika hatamu hapo ndo chadema wakaibuka na hoja ya katiba mpya wakaanza kuhamasisha watu waandamane wadai katiba mpya. Wakati huo mama ni mgeni kwenye majukumu yake anatakiwa aseti mipango kuongoza nchi mbowe yupo mbea na kina Mdude nyangali ambae akitoka gerezani kwa mkono wa mama wakaanza kumkejeli mama Eti kiwembe kilichomnyolea mtangulizi wake kitamnyoa mama hivi kweli jamani

Ilikua ni lazima mbowe akae ndani kuhamisha akili za chadema kutoka katiba mpya mpka kuhangaikia kumtoa mwenyekiti na kwa hili washauri wa mama wamefanikiwa kama ni suala la katiba mpya litakuja kufanyika lakini ni hapo baadae baada ya mama kufanikiwa kutengeneza anayotaka kuyaacha kama legacy yake kwenye nchi hii

Najua chadema watanitukana saana maana ndo kawaida yao karibuni
Wafuasi wa chadema watakutukana kwa huu uzi hao ni genge la wahuni
 
1.Inavyoonyesha hukawahi kuwapo chama digitali
2.Utakuwa mwana sgang, muunga juhudi mkono, au miongoni mwa wasaliti wa chama pendwa Cha watanzania.
Siko popote kiongozi najtihadi kutizama nakijifunzatu. Niko smart Sana siwez kukubali kufungwa fikra nahivyo vyama vyakishamba chadema/ccm
 
Back
Top Bottom