Mbowe kufungwa ni sahihi

Mbowe kufungwa ni sahihi

Mleta mada ni bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako, sidhani kama ulikuwa CDM kwani sikuwahi kumuona mtu wa CDM mwenye akili za kipuuzi kama zako. wachumia tumbo mnatakiwa kuwa ccm tu kule CDM ni watoto wa kiumeni tu.
Yawezekana wew ni mjinga mara mia zaidi yangu jua katiba ni nini tulio nayo ipoje ina mapungufu gani tunatakiwa turekebishe nini katiba ni ya nani nami ni nani mjinga mmoja tu unaendeshwa na mihemko mbowe afungwe tu

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kuwa na Hoja lakini ukaiharibu kwa baadhi ya kauli zako, Unawezaje kukiri kuwa unaunga Mkono Mbowe kupewa kesi hata kama ni ya kutengeneza!? Bro unaweza kufurahi leo kwakua huna uhusiano na Mbowe lakini vipi Kama angekuwa Kaka, Mjomba, Baba au Babu yako anayapitia haya unayoyafurahia!? Kuna kitu Karma yale unayoyatenda au kuyafurahia kwa wengine before hujaingia kaburini ni lazima uyapitie pia.

Bro ungejenga hoja na kuweka ushahidi wa tuhuma alizonazo, kwakua ulikuwa Chadema means unamfahamu vyema.
Nimekuelewa sana brother inawezkn kabisa mbowe sio gaidi 100% lkn kwa mazingira ya mtawala atawale kwa amani ilibidi mbowe afichwe kwanza ili mambo yaende

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
1.Inavyoonyesha hukawahi kuwapo chama digitali
2.Utakuwa mwana sgang, muunga juhudi mkono, au miongoni mwa wasaliti wa chama pendwa Cha watanzania.
Chadema hakuna nidhamu ndo maana chama kinagawanyika ndo maana kila anaetoka chadema bila kuangalia tatizo nini mnaimba usaliti tu hebu angalia mwenyekit miaka na miaka hatoki kwani chadema haina watu wengine watakaokuja na new ideas

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Yes I declare interest Mimi nilikua chadema, uchaguzi wa 2015 niligombana na watu wangu wa karibu because nilikua naipenda chadema na nilitaka ishinde, 2020 niligombana na mke wangu because of chadema, tuliongozana wote kwenda kupiga kura tukakubaliana tuichague chadema lkn alivoingia kupiga kura akawapa ccm ikiwa vita ndani although alitumia haki yake ya kikatiba

Tukirudi kwenye kesi ya mbowe naunga mkono mbowe kupewa kesi hata kama ni ya kutengeneza kwa sababu kuu moja

Baada ya kifo cha JPM mama alishika hatamu hapo ndo chadema wakaibuka na hoja ya katiba mpya wakaanza kuhamasisha watu waandamane wadai katiba mpya. Wakati huo mama ni mgeni kwenye majukumu yake anatakiwa aseti mipango kuongoza nchi mbowe yupo mbea na kina Mdude nyangali ambae akitoka gerezani kwa mkono wa mama wakaanza kumkejeli mama Eti kiwembe kilichomnyolea mtangulizi wake kitamnyoa mama hivi kweli jamani

Ilikua ni lazima mbowe akae ndani kuhamisha akili za chadema kutoka katiba mpya mpka kuhangaikia kumtoa mwenyekiti na kwa hili washauri wa mama wamefanikiwa kama ni suala la katiba mpya litakuja kufanyika lakini ni hapo baadae baada ya mama kufanikiwa kutengeneza anayotaka kuyaacha kama legacy yake kwenye nchi hii

Najua chadema watanitukana saana maana ndo kawaida yao karibuni
Unatafuta sababu za kurudisha mapenzi ya mke wako. Inaonekana wewe ni mtu dbaifu sana, na hata ndoa yako unapelekeshwa na mkeo.
 
Yes I declare interest Mimi nilikua chadema, uchaguzi wa 2015 niligombana na watu wangu wa karibu because nilikua naipenda chadema na nilitaka ishinde, 2020 niligombana na mke wangu because of chadema, tuliongozana wote kwenda kupiga kura tukakubaliana tuichague chadema lkn alivoingia kupiga kura akawapa ccm ikiwa vita ndani although alitumia haki yake ya kikatiba

Tukirudi kwenye kesi ya mbowe naunga mkono mbowe kupewa kesi hata kama ni ya kutengeneza kwa sababu kuu moja

Baada ya kifo cha JPM mama alishika hatamu hapo ndo chadema wakaibuka na hoja ya katiba mpya wakaanza kuhamasisha watu waandamane wadai katiba mpya. Wakati huo mama ni mgeni kwenye majukumu yake anatakiwa aseti mipango kuongoza nchi mbowe yupo mbea na kina Mdude nyangali ambae akitoka gerezani kwa mkono wa mama wakaanza kumkejeli mama Eti kiwembe kilichomnyolea mtangulizi wake kitamnyoa mama hivi kweli jamani

Ilikua ni lazima mbowe akae ndani kuhamisha akili za chadema kutoka katiba mpya mpka kuhangaikia kumtoa mwenyekiti na kwa hili washauri wa mama wamefanikiwa kama ni suala la katiba mpya litakuja kufanyika lakini ni hapo baadae baada ya mama kufanikiwa kutengeneza anayotaka kuyaacha kama legacy yake kwenye nchi hii

Najua chadema watanitukana saana maana ndo kawaida yao karibuni

images (1).jpg
 
Ndio maana mkeo alikusaliti huna akili kabisa
 
Nahisiwewe niwenda wazimu nafuu unge zaliwa mbwa.shwaini
 
Rubbish
 
Yaani simulizi yako ni kipimo kizuri cha akili... atayekubaliana nawe ana akili ndogo. Na kinyume chake.
 
Chadema haina na haijawahi kuwa na ndezi kama wewe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom