thomasfute
Member
- Feb 10, 2016
- 64
- 13
Kuondoka kwao hakuitishi Chadema kila la kheri hiyo ni tafsir walikua hawana imani ya kichama let them go
Bila mbowe hakuna CHADEMA, hata Mtei ashapigwa gepuIqraa.....Elimu.
Lumumba elimikeni. Nani kawaambia Mbowe ndiyo chadema???
Yamezoea kuliwa hayo MA ccm, yaache yaliwe, wao hudhani kumshawishi mtu ni kwa pesa tuHaha CCM wanaliwa pesa yao kwa style ile ile ya Davis Mosha.