radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
vijana wa ufipani....bangi zitawaumiza!
siwezi kuwaita vijana walumumba majuha kwa kuwa sifikirii wote ni vichaa kama ww ila upo peke yako unaechafua sifa ya vijana wa ccm ujipime kama wafaa kuwa humo wataalamu wanasema ktk msafara wa mamba hata kenge wamo waweza kuwa kenge mmoja unaechafua wenzio kumbuka kila anaepinga ccm sio chadema hii nchi sio ya vyama viwili ndo mana nkakwambia ujipime kama wafaa kuwa huko ufikirio wako na mawazo hata kuku ubongo wake unakuzidi kwa uwezo wa kufikiri na maamuzi.
na kama upo kitengo cha propaganda chafu bas wala pesa zao za bure.