Mbowe katika picha Bukoba



Ndipo hapo tutakapojua kwa sasa waache wafungue matawi ya chadema yatasaidia hata kwenye chaguzi za serikali za mitaa
 


Hivi CUF ndio wenyewe serikali? I thought wanaizika CCM.....
 
Duh! haya ndo yale niliyoyanena.. Kuwa chadema ipo kwenye operation maalum ya kuimaliza Cuf sio ccm.. hapo ndipo nakubali ile dhanna kuwa Chadema ni CCM-B..
 
Mbowe endelea kufungua matawi Mzee kuandaa viwanja vya 2010.Pia fuatilia kichwa kingine Hamad Rashid kutoka CUF(CCMb) ili kuimarisha timu yetu ya kuinyoa CCM 2010.

Kama ni kweli Hamad Rashid anahamia CHADEMA then he is the ideal candidate for PRESIDENCY! Jamaa 'kichwa' na katulia inavyostahili.
 
Duh! haya ndo yale niliyoyanena.. Kuwa chadema ipo kwenye operation maalum ya kuimaliza Cuf sio ccm.. hapo ndipo nakubali ile dhanna kuwa Chadema ni CCM-B..

Sasa lipi sahihi? nani Fisadi B? CUF au Chadema?

lakini naamini kila anaye fadhiliwa na RA obvious huyo ndo fisadi B.. Hope you have the answer then.
 


CCM inamtaka MBOWE afunguwe mashina wachilia mbali matawi lakini pia akae akitambuwa kwamba who`s a dady. Mapinduzi ?mapinduzi?Mapinduzi ?daima.
 
Hii haijatulia imekaa kiushabiki mno .Hapa kuna tukio la Mbowe kufungua matawi baada ya wana CUF kuamua kufunga CUF yao na si Mbowe kusambaratisha CUF .Baada ya hapo naamini Mbowe hakufika Bukoba kwa ajili ya matawi ya Lwakatare bali kampeni za Bilaramulo .Ugumu wa zoezi hilo anaujua maana Busanda aliona unyama wa CCM.Sasa anajua ni wangapi wataipigia Chadema ni fumbo kumbwa maana hata JK hajui wangapi wataichagua CCM ila JK anajua uwezo wao wa kuiba kura na kulazimisha matokeo ni wa kiwango gani unlike Mbowe anaye ngojea fair play ambayo hatapewa .
 
Ni chadema inayofadhiliwa na RA hata wenzako wamekula hizo pesa kupitia chama hicho na ni pesa za RA.. aliyekuwepo busanda atajua ni chama gani kimefadhiliwa.. nafkiri kama utakuwa umeangalia thread za nyuma utaona maelezo niliyoyatoa kuhusu chama kinachofadhiliwa na fisadi na hapo ndio utaelewa uzuri.. Rudi nyuma..
Ukinywa kahawa kula na ndizi
 
Hata kama akishinda uchaguzi mwakani Jk awezi kushinda kama vile mwaka 2005, Lakini kuna umuhimu sana kwa kujua CHADEMA wanaendesha siasa zao vizuri na pia kama wako bukoba ni kwa ajili yao na ni haki yao kufungua matawi yao
 
Mimi furaha yangu nikuona WaTanganyika nao wanaungana na Jamaa ,ndugu na marafiki zao wa Zanzibar katika kuikataa CCM kikamilifu ,wananchi wa Tanganyika wajikubalishe ndani ya mioyo yao kuwa nafasi ya utawala wa Sultani CCM na wafuasi wake haina tena nafasi ,kwa mkato Utawala wa Sultani CCM basii na kipindi chote walichokuwa madarakani kimetosha.
 
Nakupa dole. Tatizo letu mikakati ya mabadiliko inalengwa kwa kujilinganisha na CCM na sio malengo ya muda mrefu yenye maslahi ya nchi
 
Hongera Chadema kwa move hii, Kweli tutafika. Vijijini ndo wanaturudisha nyuma (wanadanganywa kwa maneno na tshirt, na kofia)na baadhi ya miji mikubwa e.g Dar, kwanini? Mbaya zaidi ni kwenye hizi high learning institutions ambapo nafikiri watu wana uwezo wa kuchambua mambo lakini ndo wanajiunga ccm kila kukicha (wanadanganywa wanadanganyika).
 
Hamna chochote ccm watampa na yeye bahasha yake atakuwa kimya .huyu jamaa ni fisadi pia .
 
mungu saidia chadema kishinde leo biharamuro. mungu ibariki BK, TZ & AFRICA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…