Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,907
- 1,080
Wewe! huogopi watetea mafisaddi humu wakiziona hizi picha watakujia juu sana!
Good news ni kwamba Wahaya sio sawa na Wasukuma hawa wana msimamo bwana. Ingekuwa ni ndugu zetu wasukuma ningejua ni bure tu wakipewa tshirt tu wamekwisha
Mzee tunatafutana ubaya eeehh...you have been warned!
Mbona onyo kali? Kwani unasukuma?
Inatia moyo sana kwamba watu wana hamu ya kusikia nuru mpya!
Jamani ufisadi wa CCM ulipo tufikisha yatosha, wakae pembeni kidogo warekebishe makosa yao.
Ohh sorry. Update nilizopata ni kwamba huyu jamaa kaamua kweli kweli maana anachanja mbuga mpaka vijijini. Si mchezo tena. Anawavuna wanachama na kujenga chama humo vijijini. Kwa mwendo huu tutafika tuendako.
Jamani katika mikutano wingi wa mabendera nao unasisimua uwanja ,hapa nimetafuta bendera za Chadema sijaona hata moja.
Ni haki yako ya kidemokrasia,inaelekea umeshiba sana itikadi ya Katibu Mkuu Makamba na huo ni mtizamo wako.Hongera Kamanda Mbowe kwa kuwafuata wapiga kura na walipakodi wa vijijini endelea kueneza sera za CHADEMA ili wazipima na kutofaotisha na za vyama vingine.Nakutia moyo endelea wafuasi wako tupo na mimi naendeleza kueneza huku Kyela.Huyu hana jipya zaidi ya kuhangaikia maslahi yake...... Tanzania hatuna watu wenye nia na uchu wa ukombozi kwani kila anayejifanya kutafuta huo upenyo wa kujenga jamii mpya naishia kushibishwa hapo na kusahau alikotoka! huyu analinda maslahi ya biashara zake hana lolote jipya la usoni.....
Huyu hana jipya zaidi ya kuhangaikia maslahi yake...... Tanzania hatuna watu wenye nia na uchu wa ukombozi kwani kila anayejifanya kutafuta huo upenyo wa kujenga jamii mpya naishia kushibishwa hapo na kusahau alikotoka! huyu analinda maslahi ya biashara zake hana lolote jipya la usoni.....