Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,645
I second Mbowe Prof. Lipumba does not keep his words as a public figureUkweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Thubuutuu! Nani kasema?tunamuogopa kama ukoma.Lowasa ni RAIA mwema
TWAWEZA wenyewe wamewezwa wamejifia hakuna anaewakumbukaSie mizimu ya wafu, tumewaelekeza TWAWEZA wawafanulie wafu watarajiwa nini maana ya udikteta
We unafikiri ni kwa nini Zanzibar wameamua kufanya marekebisho katika katiba juzi?????? Au usha sahau maana hamkawii ninyiTunasubiri kuona baada ya kwenda huko wamerudi na nini? Kuna waliodai wanaenda ICC walirudi na nini? Kila jitihada zina mrejesho, kila hatua ina pimwa kwa mafanikio.
Dakika 90 ndio mwamuzi wa mwishoMbowe na vibaraka wake now hawana hoja. Wamekula ya mbuzi wameota mapembe...chezea Lowasa weye!!
Wakati juzi ulipokea bilioni 6,usha sahau tayariHiki chama sijui kwanini hakioni kama Mbowe amekosa mwelekeo. Kweli unajifiia kwenda ujerumani, uingereza na Canada kwa hoja dhaifu kabisa ambazo zimetokana na kukosa ushawawishi kwa wananchi baada ya zile mlizozisimamia kutekelezwa na rais? No! Mimi kuwatukuza hao jamaa , acha nife njaa walichowafanyia babu zetu kinatosha.
Ingependeza Mkuu wana Chadema wangeacha kuwajibia CUF
Lowasa hakuanzisha UKAWA......yeye anataka urais tu, hajui cha katiba mpya wala ya zamani.....ndio maaana alikimbia mdahalo. Wapinzani hawakimbii midahalo
Marekebisho yamefanywa sababu Seif amewapa hiyo fulsa, alipowaingiza mkenge wenziwe wasiingie kwenye marudio ya uchaguzi ha hivyo kuachia na kupoteza majimbo yao yote. Hiyo inaitwa HASIRA HASARAWe unafikiri ni kwa nini Zanzibar wameamua kufanya marekebisho katika katiba juzi?????? Au usha sahau maana hamkawii ninyi
Zitto KabweTWAWEZA wenyewe wamewezwa wamejifia hakuna anaewakumbuka
Tuone hao wakoloni watatufanya niniWalifikiri tutaishia kwenye mipaka ya Namanga na Tunduma tu.