realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Yes mbona tamko ameshalitoa mwwnyekiti Lipumba kuwa cuf imejitoa ukawa.?? Mnadhani atakubali kukaa meza moja na watuhumiwa wa ufisadi. Khaaa! !Kama alisema ameondoka UKAWA sababu Lowassa amekuja. Leo unarudi kwa Lowassa ameondoka UKAWA na CUF wameondoka kwenye huu umoja?
Regarding him as Irrelevant politician it's typical perfect hit spot.. Yes he is..
Mbowe anataka kutuaminisha kuwa Lipumba hana maana kisiasa??Hili ni tusi kubwa....Kwa mtazamo wako neno irrelevant ni tusi/uzalilizashaji?
Neno irrelevant maanake,hailingani au haina maana sawa,upoooo Lipumba kwa sasa hana maana sawa na UKAWA,tokana na matendo atendayo.
Elewa mkuu,Lipumba hana maana ya UKAWA kwa sasa,hiyo ndio maana yangu.Mbowe anataka kutuaminisha kuwa Lipumba hana maana kisiasa??Hili ni tusi kubwa....
Hapa elimu nayo ni tatizo.Mbowe anaona fahari kutamka maneno ya kiingereza ambayo nina uhakika kwake anaona kaongea sana lakini hajui thamani ya neno na madhara yatokanyo.Jamani jaribuni khchagua viongozi wenye shule kichwani.
Hii ni mbinu moja ya kivita,KUMPOTEZA ADUI MWELEKEO.DJ alishabadili gia angani tena.!!
Kwa hali hii ya ubadilishaji gia mwaka 2020 Lugumi wanaweza kuwa mgombea urais wa Chadema na sisi wild beast tukaamlishwa na DJ tumsafishe kama tulivyolazimishwa kumsafisha Lowasa.
Tatizo letu hatupendi ukweli tutaonana haya ndo umasikini unatuingia hadi kwenye kucha.....Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Na ccm wanayo........Msajili wa Vyama vya siasa hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya vyma lakini chams cha siasa kinaweza kuingilia mambo ya ndani ya chama kingine! Only in tz. Big up sana Longido water supply authority(LOWASA)
View attachment 410108
Kwahiyo Msajili kuingilia na kuhakikisha taratibu zinafuatwa ni kosa?Kwa hiyo kuwasaidia CUF kuondokana na hii "Comedy" ni kuingilia mamlaka ya chama kingine?
Seriously?
Kwa ninavyomjua Lipumba hatamjibu Mbowe kwasababu he is too junior kwake. Mbowe unatafuta umaarufu kupitia kwa Lipumba baada ya UKUTA kubuma!Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Hujui unachokiandikaLowasa hana pesa wala hajampa mtu pesa yupo upinzani kutokana na vioja alivyofanyiwa na kikwete hahitaji kujilinda na pesa kwa sababu yy akiwa chadema hana haja na cheo ujumbe unamtosha hivyo hakuna mtu wa kumsumbua, hiyo propaganda ya pesa za lowasa ilitengenezwa na akina February na membe wakaisambaza kila kona wale Wajanja walijua ni uzushi wakapotezea lakini wajinga hadi leo wakekariri pasipo kujua kuwa wenzao walitengeneza huo Uzushi walilipwa pesa nyingi sana kueneza kila kona.