Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,209
- 8,048
JK yupo USA anakula bata wakati huku kwetu watu wanateseka hata mlo wa siku umekuwa shida lakini raisi wa ccm kila siku yupo nje inauma sana kuchezea pesa zetu kwenye starehe za duniani wakati watu wanateseka bado polisi wanaendelea na uonevu wa hali ya juu kwenye maandamano ya haki ya CHADEMA uonevu una mwisho wake.
View attachment 188138
hawa watoto ipo siku MUNGU atawanuia ccm ni janga la taifa
Kama una mawazo hayo utakuja kufa kwa ugonjwa wa moyo kama ikitokea miujiza ya cdm kuongoza nchi..Fanya kazi kwa bidii ujiletee maendeleo hakuna chama chochote duniani kinachoingia madarakani kikanza kugawa hela kwa wanachama wake..waulize jirani hapo Kenya baada ya kuindoa KANU walijua wataishi paradiso lakini hadi Kibaki anaondoka madarakani ndio wakajua maana ya vyama vya siasa