Kwa kadiri tunavyomfahamu mbowe alivyo king'ang'anizi wa mambo kila aliye mwanachama wa chadema hana majibu juu ya safari ya mbowe na ukimya wake.
Angekuwa mbowe kama wengi wanavyomwita mzee wa anga hakika yale maandamano aliyo yatangaza kabla ya kuondoka yangefanikiwa kwa kiasi kikubwa na leo tungekuwa tunazungumza mengine.
Utata uliopo ni juu ya safari yake kama ilikuwa planned au vinginevyo, tunaomba watu wa chama waje na majibu ya dhahili. Kwani yeye kiongozi kuondoka kimyakimya hasa katika kipindi hiki kigumu cha mapambano na katiba ya ccm hakiingii akilini hata kidogo.
Yeye anatangaza maandamano halafu anaondoka, anataka nani aandamane, nani hakutane na dhoruba ya polisi wasio kuwa na fedha katika kipindi hiki ambacho hawajapewa mishahara .Kila mtu anajua polisi anapokuwa na njaa anavyokuwa mkali.
Huku mitaani wanatuambia mbowe alipewa masaa 24 awe ameondoka nchini kwa sababu yeye ni kinara wa vurugu,wapo wanaodai mbowe ametoroka baada ya kutishwa .
Chama kije na majibu ya kututia moyo.