the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Yaani strategy ipi tena safari hii nina imani itakuwa gear ya kwenye ngaziCDM wana strategy kali sana wee subiri utaona, unafikiri Mbowe anafanya mamboa bila akili? Yajayo mtafurahi.
Yaani strategy ipi tena safari hii nina imani itakuwa gear ya kwenye ngaziCDM wana strategy kali sana wee subiri utaona, unafikiri Mbowe anafanya mamboa bila akili? Yajayo mtafurahi.
Endelea kutaja...List imeisha.....?Mbowe sio lazima awe yeye kuna watu pale kuna mnyika, kuna heche angalau ana shahada moja mbowe alitakiwa kuwa pembeni kabisa bora hata wamama wakina matiko, mdee au bulaya.
Post yangu umeielewa au unakurupuka tu kwa kutaka kulazimisha unachokiwaza wewe ndio kiwe?Lisu ndiye jembe letu na je asipo kuja nini kitatokea?ni lazima tuwe na mbadala,mawazo yako ya kilumumba peleka huko huko lumumba,siku ikifika mtapata majibu.Lissu alikuwa wa kwanza kutangaza nia, lakini baada yake ikawa kila mmoja anaibuka... hili limemvunja moyo Lissu usitegemee atakuja.
Tulimpamba kuwa ni yeye pekee, ona sasa..!!
Unakurupuka tu, umeshasahau habari zako za uchaga!.Mbowe sio lazima awe yeye kuna watu pale kuna mnyika, kuna heche angalau ana shahada moja mbowe alitakiwa kuwa pembeni kabisa bora hata wamama wakina matiko, mdee au bulaya.
Comment kama hii ndio mtu anajua aina ya wapiga kelele mliojazana humu.Lissu alikuwa wa kwanza kutangaza nia, lakini baada yake ikawa kila mmoja anaibuka... hili limemvunja moyo Lissu usitegemee atakuja.
Tulimpamba kuwa ni yeye pekee, ona sasa..!!
Umetawaliwa na mawazo ya kishetani kichwaniMbowe ni pandikizi la CCM!
Strategy ipi wewe Tanapa?chadema ni mbowe,ana baraka zote toka Tengeru,tundu lissu anamjua nani,akagombee ACT hukoCDM wana strategy kali sana wee subiri utaona, unafikiri Mbowe anafanya mamboa bila akili? Yajayo mtafurahi.
Comment kama hii ndio mtu anajua aina ya wapiga kelele mliojazana humu.
Kama Lissu alichukua form bila kujua taratibu bora asirudi.