Mbowe: Jk aungwe mkono na kila chama

Mbowe: Jk aungwe mkono na kila chama

Magamba wanacheza na kamanda wa anga yuko safi ndio maana kikwete mara zote anamnukukuu, huyu sio wa kundi la zidumu fikra za mwenyekiti na zao kudumaa! Kamwe hatapinga kila kitu na mara zote mtu hapingani na kauli bali matendo sasa chukua muda umwone kamanda pale maneno ya kikwete yanapoenda kinyume cha matendo yake............................ Hiyo ni mahsine nyingine sio ya kujipendekeza kwa kikwete. Ni wazi ungelikuwa wewe mwenye fikra potofu sasa ungelikuwa house boy wa kikwete.

mkuu kukua huyu jamaa ni bure kabisa siku zote akiwa kwa jk anajifanya mwema akiwa kwenye majukwaa ya kisiasa analeta uchochezi ili apate sifa za kijinga.
 
Msije mkazubaa kwa kauli hizo halafu wakatumia mwanya huo kuchakachua rasimu ya katiba
 
Maajabu ya vijana wa lumumba thread nzima wanachangia wao kujifariji.

Mbowe ni balaa ana watetemesha kweli!

Unakuta mtu mmoja ndani ya dakika 5 kesha weka post sita. Anakosoa,anajijibu,anakashfu, anajipongeza na mwisho haelewi kaanzia wapi. Kutoa mawazo yako kunatakiwa uwe huru ndio yatasimama ila kama ni ajira basi ni vurugu tupu. Ona hapo chini jinsi wanavyo hangaika hapo Lumumba kujitengenezea ujira
View attachment 137702
 
Mbowe si nape au makamba. Anasema ukweli panapo ukweli. Isitoshe hii siyo kuhusu jk. Bali ni kauli yake. Au mlitaka ampinge? Kweli akili nywele ila nyie mna mawigi..
 
JK anaongea akijua wazi viongozi aliwachagua sio watendaji bali walafi
 
Back
Top Bottom