Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Hii sled imevamiwa na virus wengi kweli
Hii sled imevamiwa na virus wengi kweli
Hii sled imevamiwa na virus wengi kweli
Yaan ww kichwa chako huwa kinawadudu sn tu kila nikuonapo unachangia lazima uwakusoe chadema ila utapata ujauzito wa chadema mda si mrefuMbowe ni mnafiki akiwa kwenye majukwaa anazungumza uchochezi lakini akikutana na viongozi wenzake anajifanya mwema hafai kanisani wala msikitini.
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, FREEMAN AIKAELI MBOWE ameviomba vyama vyote vya siasa kuunga mkono Hotuba ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ya kuvitaka vyama hivyo kutanguliza maslahi ya Taifa badala ya maslahi ya vyama vyao wakati wa Bunge la Katiba ambalo wajumbe wake watatangazwa na mh.Rais leo tarehe 07/02/2014 na kuanza rasmi vikao vyake tarehe 18/02/2014 mjini Dodoma.
Kikwete ni kiongozi mwenye karama toka kwa mungu
Mbowe ni mnafiki akiwa kwenye majukwaa anazungumza uchochezi lakini akikutana na viongozi wenzake anajifanya mwema hafai kanisani wala msikitini.
kila mtanzania anaipenda nchi hii atataka serikali mbili, hao wa serikali tatu wana lao jambo.
no, it can't be! Mbowe hawezi kuwa ametamka haya.
not after JK clearly expressed his party's biased interest recently kwenye sherehe za CCM kule Mbeya.
kama ni kweli kamanda Mbowe umeyatamka haya then unaniangusha sana mwana mageuzi mwenzio, mkuu.
why are you not able to connect those clearly visible dots??
kikubwa arudi darasani!