OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Kama maneno halisi ya Mh. Freeman Mbowe yalikuwa "kumuunga mkono kwa ajili ya maslahi ya Taifa na si vyama" na SI VINGENEVYO, Cha ajabu ni nini hapo?
Au kwa sababu ni Upinzani kupinga hata mambo yenye tija?
acha ulimbi ww,toka lini mchaga akawa na maslahi na taifa,hyo sahau