JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Ni kauli tatu, Sorry!.
Hivi neno lead between the lines ulikuwa unataka kumaanisha READ BETWEEN THE LINES?CCM bwana eti na wao wanamtumia darasa la 7 B huyu kuleta propaganda!! hivi kwanini watoto wetu siku hizi hawajui kiingereza wala kiswahili? ni matatizo makubwa sana.huwezi kukuta bandiko la kijana aliko ccm ambalo halina matatizo.