Mbowe jiangalie; Lissu anakunanga kiaina!

Mbowe jiangalie; Lissu anakunanga kiaina!

kitambiheshima

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
452
Reaction score
116
Trends za kauli za Tundu Lissu, tena za mfululizo ambazo amekuwa akizitoa hivi karibuni zina utata mwingi uliojificha.

Hivi karibuni Lissu ametoa kauli mbili tata kama ifuatavyo;
1: Wabunge wengi hawajui kingereza....
2: Mbowe hana shahada (degree) lakini hicho si kigezo kinachomwon
dolea sifa ya kuwa mwenyekiti chadema.......
3: Swala la Uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa kati ya Mwenyekiti (
Mbowe) na mbunge wake wa viti maalumu ni mambo binafsi.

Ukitafakari kauli hizi baada ya kusoma katikati ya mistari ( lead btn the lines) unagundua kwamba Tundu Lissu ameibua kamtindo ka kumnanga Mwenyekiti wake kiaina.

Ni dhahiri kuwa kauli za Lissu dhidi ya Mwenyekiti zinalenga kumbomoa na wala si kumjenga/kumsafisha.

Itakumbukwa pia Lissu ameongoza matukio mengi sana huko nyuma yaliyotokana na ushauri wake ambayo kimsingi yamekibomoa mno chadema. Mfano mzuri ni tukio la wabunge wa chadema kutoka nje ya bunge wakati Kikwete akihutubia bunge na mengine mengi.

Hali inanisukuma kuamini kuwa Lissu si mtu mwema ndani ya chadema (i stand to be rectified any how) na kwamba nia yake sasa ni kuanza kujijenga kwa kasi kuliko chama na Mwenyekiti wake.

My take: Mbowe mwangalie Lissu kwa macho matatu makali (ingawa ana macho matatu tayari- kengeeeeeeeeeeeeeeeeeeza's +ubongo = 4.
 
Hebu kaa utulie uandike bhana!!!!!
Leo si jumaapili na.wengi ni siku ya ibada na mapumziko!!!!!!

Unataka kuongea nini????!!!
Yaliyosemwa kweli au si kweli???!!!
Unataka kusema Lissu ni msaliti kiaina???!!!
Hutaki mwenyekiti aongelewe hata kama yasemwayo ni kweli???!!!!
Si mtu mwema sababu kamgusa mwenyekiti??!!!!


Hebu weka dhamira yako wazi au la unalolalamikia ndio na wewe unalifanya!!!!
 
Hebu kaa utulie uandike bhana!!!!!
Leo si jumaapili na.wengi ni siku ya ibada na mapumziko!!!!!!

Unataka kuongea nini????!!!
Yaliyosemwa kweli au si kweli???!!!
Unataka kusema Lissu ni msaliti kiaina???!!!
Hutaki mwenyekiti aongelewe hata kama yasemwayo ni kweli???!!!!
Si mtu mwema sababu kamgusa mwenyekiti??!!!!


Hebu weka dhamira yako wazi au la unalolalamikia ndio na wewe unalifanya!!!!

Kama mpaka hapo hujaielewa dhamira yangu basi rudi shule ukaanze kufundishwa a e i o u.
 
Naona ni uchonganishi ndio dhamira yako!!!!!
Je niko sahihi, na kama siko sahihi nini dhamira yako????!!!

Olesaidimu naona umeamua kuibua lako. Nithibitishie kama hizo kauli hazijawahi kutolewa na Tundu Lissu.
 
Mbowe uwezo wake mdogo, Akili ndogo haiwez ongoza akili kubwa

Huu ni wakati wa mbowe kuachia uenyekiti watu wenye uwezo
 
Acha kufikiria kwa hisia hebu fanya tafiti ndani ya chama cha mafisadi,c.c.yem ninani mwenye upendo wa kweli kwa mwenzake!
Na ambaye atakunywa chai na kupata dharula kidogo atoke,akirudi aweze kuendelea kuinywa chai hiyo?

Je,kama jei kei na mzee wa ndovu kinaina (al shabab) hawaaminiani hata kwenye mawaziri mizigo uafikiri kuna uhai wa chama hapo?

Maneno ya tundu lissu ni ya kuwaeleza watu ukweli ili ma ccyem msipate pa kuwahadaa watanzania,

kuongoza watu kwa hekima haihitaji 'phd' bali ni uwezo wa kimakuzi,busara na hekima zilizo tukuka.

Mfano:manabii suleiman,ibrahim,mussa na wengineo.hawa wote hawakuwa na madigree ya ajabu lakini hadi leo busara zao zinaendelea kutumika.

Nikuulize!

Kama kuongoza ingekuwa ni midigree,udokta feki wa jei kei angekuwa dhaifu kiasi hiki? Hadi anashindwa kuongoza watanzania na hata familia yake!
 
Ninachoona mimi ni waandishi njaa wenye maslahi na magamba kutumia midomo ya Lissu kuvumisha zile zile propaganda za kipuuzi...
 
Ya Zzk imegonga mwamba, ngoja tuone hii ya TL!! Acha tujaribu maana hawa jamaa WA CDM wagumu kweli na sasa na hii OPD da!
 
Back
Top Bottom