Trends za kauli za Tundu Lissu, tena za mfululizo ambazo amekuwa akizitoa hivi karibuni zina utata mwingi uliojificha.
Hivi karibuni Lissu ametoa kauli mbili tata kama ifuatavyo;
1: Wabunge wengi hawajui kingereza....
2: Mbowe hana shahada (degree) lakini hicho si kigezo kinachomwon
dolea sifa ya kuwa mwenyekiti chadema.......
3: Swala la Uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa kati ya Mwenyekiti (
Mbowe) na mbunge wake wa viti maalumu ni mambo binafsi.
Ukitafakari kauli hizi baada ya kusoma katikati ya mistari ( lead btn the lines) unagundua kwamba Tundu Lissu ameibua kamtindo ka kumnanga Mwenyekiti wake kiaina.
Ni dhahiri kuwa kauli za Lissu dhidi ya Mwenyekiti zinalenga kumbomoa na wala si kumjenga/kumsafisha.
Itakumbukwa pia Lissu ameongoza matukio mengi sana huko nyuma yaliyotokana na ushauri wake ambayo kimsingi yamekibomoa mno chadema. Mfano mzuri ni tukio la wabunge wa chadema kutoka nje ya bunge wakati Kikwete akihutubia bunge na mengine mengi.
Hali inanisukuma kuamini kuwa Lissu si mtu mwema ndani ya chadema (i stand to be rectified any how) na kwamba nia yake sasa ni kuanza kujijenga kwa kasi kuliko chama na Mwenyekiti wake.
My take: Mbowe mwangalie Lissu kwa macho matatu makali (ingawa ana macho matatu tayari- kengeeeeeeeeeeeeeeeeeeza's +ubongo = 4.