johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,630
KUB Jiongeze kazi yako ni zaidi ya kuuliza maswali ya papo kwa hapo.Role yako hatuioni ktk maadhimisho mbalimbali ya kitaifa,usisubiri mialiko utapoteza fursa jaribu kuwa mbunifu.
Kwa mfano kauli yako ilihitajika kuhusu hali ya Kibiti, uhakiki wa vyeti vya wanasiasa na kupanda kwa bei ya Ugali. Nakukumbusha tu 2020 wapiga kura hawatahitaji ngonjera, ahsante.
Kwa mfano kauli yako ilihitajika kuhusu hali ya Kibiti, uhakiki wa vyeti vya wanasiasa na kupanda kwa bei ya Ugali. Nakukumbusha tu 2020 wapiga kura hawatahitaji ngonjera, ahsante.