Muungano wa Marekani ni wa Kisayansi sana Hauna Marais wawili wala Makamu wa Rais watatu sanjari na Waziri mkuu, Ada za muungano hulipwa kwa Wakati,Zile Nchi ndogo ndogo hazina Utitiri wa Wabunge na Lundo la Watumishi kwa kutegemea pesa za Nchi kubwa, Uchoyo wa Ardhi,Uchoyo wa mafuta baharini,Udini na Ubaguzi ni Mwiko kabsa Pia hawapendi Ulalamishi,huwezi kukuta Mbunge analipwa posho Mara 2 , hawavunji katiba Kienyeji na Kuwa Nchi kinyemela , Amiri Jeshi Mkuu ni Mmoja tu yaani Rais Obama, Gavana wa Nchi hawezi kuvukagua vikosi vya Ulinzi , wamejipanga kisayansi sana tunapaswa kujifunza kwao Maana wao hawana Wizara ya muungano wapo Kidgtal zaidi ,muungano wetu ni moja ya Muungano Ghari na wa Ajabu uliosalia Duniani.