Mbowe hovyo kabisa

Mimi nawasiii warudi bungeni
 
Biasness' za vyama vya siasa vinatupeleka pabaya kama Taifa... Mr. President, Please sitisha hii mijadala kwani kuna kila dalili ya uvunjifu wa amani kunako chagizwa na viongozi kutoka ktk pande mbili zinazokinzana kwa sasa...wote wanamakosa na wametanguliza maslahi ya vyama vyao zaidi...Lukuvi ameingiza udini ambao hatimae sote tutaangamia...Bora tuendelee na katiba iliyopo then baadae tuifanyie research ya kutosha kwanini experiment hii imefeli kiasi hiki...
 
.........zifuatazo sasa ni habari za kimataifa.....................

Ndege inayodhaniwa kupotea ya shirika la ndege la maleshia imesikika mlio wake kwa mara ya kwanza toka ilipo potea.

mashuhuda ambao ni wanachama wa ccm waliokuwa kikaoni wamemweleza mwandishi wa Cable kuwa muungurumo haukuwa na hitilafu yoyote.

aidha Nnape nauye na Mwigulu nchemba ambao ndio walikuwa viongozi wa kikao hicho cha siri wametanabaisha kuwa walimgutia rubani kumtaka aitue ndege hiyo kwenye uwanja wa JNI na siyo KIA ili iweze kuitangaza ccm kimataifa.
 



Nape alifanya nini hadi UVCCM mkamkwida?
 
Mimi nawasiii warudi bungeni

Ni vigumu sana kukaa na intarahamwe kukawa na utulivu. Watu wanajadili katiba mbili mbili tofauti, Kundi moja linajadili katiba ya tume ilivyopendekezwa na wananchi kundi la intarahamwe liko bize kutukana, kueneza udini, kuwabagua watu kwa makabila yao especially wachaga na wapemba alafu unataka warudi wataena kujadili nn? MATUSI?
 

Kati ya WATU HOVYO kwenye hii nchi ni wewe pamoja na wapumbavu wengine chama cha majambazi na mafisadi.
HIVI nikuulize nani hovyo kati ya aliyegushi sahihi ya nyerere, karume na huyu anayehoji ujuha wenu wa kupenda kuishi kwa uongo? hao unaowatetea wadini na wabaguzi wakubwa kama nyerere angekuwa hai sidhani hata mngekuwepo Tanzania. sasa hivi mngekuwa wakimbizi.

Wapumbavu wenzako wamekaa kimya katiba ya JMT imevunjwa na kuruhusu zanzibar kujitenga halafu sasa hivi mnanyanyua midomo mirefu baada ya kuumbuliwa. fungeni makopo yenu hayo machafu
 
Wewe nie mshenzi kabisa

 

Kwahiyo wanaotoa sababu za kuizika Tanganyika kinyume cha matakwa ya wananchi ndiyo wewe umewaona wa maana?
 
Mtoa mada na wenzako hebu wekeni pembeni uchama wenu then tujadili mambo haya nyeti kama Watanzania tunao itakia nchi yetu Amani na Mafanikio. Sio kuandika kwakumshambulia mtu moja kwa moja, unadhani nani atakuwa mvumilivu!!!?
We toa hoja kama Mzalendo sio kama kibaraka wa watu ili watu waweze kutoa mawazo yao. hapo turafika.
 


Kwani wewe ulikuwa unahadithiwa hayo au ulikuwa unafuatilia Bunge? Naona kama nakosa hata jinsi ya kuanza kukuelewesha.

By the way sioni uhusiano wa kichwa cha habari na mada iliyofuatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…