Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 35,034
- 56,321
Anawakimbiza watu akiwa uchi kwa kisingizio kwamba wamechukua kaptula yake wakati anaoga katikati ya siko la kijiji saa sita mchana.😂😂😂Unashindana na kichaa/vichaa? Na wewe lazima uwe kama wao
Samaki hukunjwa angali mbichi