Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

Mbowe bana!No wonder wenzio katika WARAKA WAO WA USHINDI walikuita wewe ni Kiongozi usiye na maono (vision).Hivi utawezaje kulinda kura nchi nzima kama Viongozi Chadema hamtaki kukiimarisha Chama katika ngazi za chini kabisa huko Mikoani?Fedha mnapewa na Wafadhili,WanaChadema wanachangia Chama katika Mikutano na Serikali inatoa fedha za ruzuku zaidi ya shilingi 300,000,000 kila mwezi sasa mnashindwaje kuimarisha shughuli za Kichama katika ngazi hizo?Leo unazungumzia kuhusu kulinda kura huku Chama kikiwa hakina mtaji wa muundo wa uongozi katika ngazi za chini.Kuwepo kwa Viongozi wa matawi na mashina mikoani kurahisisha Chadema kuratibu mipango mbalimbali ya kujenga ya Chama kama vile kuwatambua mawakala waaminifu watakaoweza kukisaidia Chama kulinda kura zake nyakati za Uchaguzi kwakuwa Viongozi wa haya Matawi watakuwa wanawafahamu hawa Mawakala vizuri zaidi.Shughuli nyingine za kujenga Chama zinaweza kufanywa na hawa Viongozi wa Mikoani hivyo kuwawezesha Viongozi wa Kitaifa ku-focus katika masuala ya Kitaifa.
 
hivi kura hua zinaibiwaje , hii kauli nimekua nikiisikia lakini practicability yake nashindwa kuifikiria inakuaje, maana kama kura hua zinaibiwa basi kusingekuwepo na mbunge wa upinzani hata mmoja bungeni, waache kudanganya watu, mtu unashindwa fair and square unaleta porojo za kura kuibiwa

Ukijua jinsi unavyoibiwa hutaibiwa tena ... ndio maana Chadema waliibiwa kura baadhi ya maeneo kwakuwa watu kama wewe WaPo wengi..
 
hata kigoma mjini inafahamika kwamba cdm ilishinda , bali kuna kiongozi mwenye tamaa ya fisi aliingia makubaliano maalum na ccm !
 
Jukumu hilo lipo chini ya nyumba ndogo na nyumba ya kupanga ya viongozi wakuu wamchadema. Hapa namaanisha Joyce Mukya na Josephine Mushumbuzi. Ona hata majina yao initials zinafanana. (Joyce Mukya = JM), (Josephine Mushumbuzi = JM)

poor thinking,.
 
mbowe anaongea nini sasa naona anajisumbua kwani chama chake kitqfika kwenye uchaguzi mkuu mbona kinakufa kesho tu.

Mwaka umebakiza siku ngapi uishe? huu upuuzi umeshatuchosha! CDM wapo kwenye programu ya CDM NI MSINGI na inaendelea vizuri nchi nzima huku nyie misukule inaota ndoto za mchana.Nenda vijijini hudhuria hata misiba kwani kwa vijijini ndilo eneo pekee watu wengi hukutana na sikiliza hoja za watz,nadhani jibu utalipata kuwa CDM kwa sasa inatisha.Misukule kama wewe mkishashibisha matumbo yenu kwa hayo makombo ya wauza unga ubongo hustack na mnajikuta mnaropoka ovyo! subirini 2014 uchaguzi serikali za mitaa muione nguvu ya CDM NI MSINGI.
 
huko walikoshinda wao wameiba sio???

Unaonesha ulivyo na boga badala ya kichwa! waibe kura wakati mfumo wa uchaguzi ni mbovu? tume si huru imeteuliwa na unaoshindana nao? wateule wa m/kt wa chama pinzani ndiye anayeteua wakurugenzi wa wilaya (makada wa ccm)ambao hugeuka wasimamizi wa chaguzi? wewe ni mpumbafu usiye hata na haya! 2015 style ya mabina tutaitumia kuwadhibiti mahayawani kama wewe!
 
Majimbo,kata na vijiji yaliyochukuliwa na CDM alishinda mamayo au?

Ni kata,majimbo, vijiji, vingapi? Kati ya zote Walishinda ngapi? tuanzie hapo! Punguza munkari Kamanda BABU amekuandalia zawadi ya gongo krismas hii.
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia Maelfu ya Wakazi wa Kanda ya Ziwa na Jiji la Mwanza Kwenye Uwanja wa Furahisha Uliopo Jijini Mwanza Wakati wa Kukusanya Maoni ya Katiba Mpya alisema Chama haitalalamika tena hadharani Kuwa Kiliibiwa Kura Uchaguzi Mkuu Uliopita Kwa Sababu Kufanya hivyo ni Kudhihirisha Udhaifu. "Mimi Kama Mwenyekiti nasema Lugha ya Kukiri Kwamba tuliibiwa Kura ni Udhaifu na Ujinga. Mliibiwa Kura Mkiwa Wapi?... Nataka niwambie Kuwa hatutaibiwa Kura tena labda Sisi ndio tuibe" alisema Mbowe. Hata hivyo Mbowe aliwakumbusha Watanzania Nchini Kote kwamba Ulinzi wa Kura ni Jukumu la Kila Mwanachadema popote pale alipo. "Kumbukeni Kwamba Katika Ushindi wa Wenje (Nyamagana), Mnyika (Ubungo), Kiwia (Ilemela) Mdee (Kawe), Lissu (Singida), Lema (Arusha), Sugu (Mbeya), Ndesamburo (Moshi), Vincent Nyerere (Musoma), Msigwa (Iringa), Mimi Mwenyewe Mbowe (Hai) na Wengine wengi ilibidi yatumike Mabomu tena ya Kivita, lakini bado Wananchi Walilinda Kura zao". alisema Mbowe. PEOPLE'ZZZ..

CHADEMA WACHAKACHUA

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime bwana Fidelis Lumato amesema mawakala wa Chadema waligushi matokeo katika vituo vinne, kwa mfano kituo cha Rebu kata ya Turwa mgombea wa Chadema Mwita Mwikabe Waitara alipata kura 86 wao waligushi na kijiwekea kura 320, kituo cha Soroneta kata ya Binagi Waitara alipata kura 36 wao walibadilisha na kuwa kura 186 dhidi ya mgombea wa CCM Nyambari Nyangweni. Alivitaja vituo vingine walivyogushi ni Nyareto na Nyangoto Nyamongo.

Source: gazeti la Nipashe la Jumatatu tarehe 8 Novemba, 2010.
 
Back
Top Bottom