Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

Mbowe: Hatutakubali Kuibiwa Kura tena

Mbowe mwaka 2015 huna mgombea wa Urais,rafiki yako Balozi wa Gongo Tanzania hawezi kushinda,wekeni nguvu kwenye majimbo
 
hivi kura hua zinaibiwaje , hii kauli nimekua nikiisikia lakini practicability yake nashindwa kuifikiria inakuaje, maana kama kura hua zinaibiwa basi kusingekuwepo na mbunge wa upinzani hata mmoja bungeni, waache kudanganya watu, mtu unashindwa fair and square unaleta porojo za kura kuibiwa

Mkuu usicho kijua ni usiku wa giza, mimi kabla sijawa na hofu ya Mungu (Kipindi nipo ccm) nilikuwa wakala kwa awamu tofauti tofauti na mazingira tofauti tofauti na kazi ya uwizi wa kura tuliifanya sana hasa kipindi nikiwa katika maeneo ya vijijini.
Ila sasa najuta kwa dhambi niliokuwa nikiitenda dhidi ya nchi yangu na Mungu naomba unisamehe.
 
Back
Top Bottom