wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,171
- 1,129
Mkuu ukiona hivyo tambua sheria ya Tanzania ni onevu kwa mtu ambaye hayumo ndani ya chama tawala ana kesi gani inayoweza mfanya akose dhamana sema ubabe wa kusema sisi tunayo madaraka ya kuweka watu ndaniTazameni gwiji wenu wa sheria leo kalala ndani kwa upuuzi wake kisha mdai tena kuwa ukawa mnaonewa
Use brain and not stomachSafari hii mtakoma maana zero ndiyo kashika akili zenu. Tena ningekuwepo mimi hapo kahama ningewachapa zaidi, mnatakiwa mukomeshwe kwa akili zenu za kizezeta! Sasa tunahitaji kufanya kazi na siyo maandamano au kueneza chuki. Yaani mpaka 2020 hamtakuwa na wafuasi maana sasa kila mwananchi anamkubali Dr Magufuli
Mkuu ukiona hivyo tambua sheria ya Tanzania ni onevu kwa mtu ambaye hayumo ndani ya chama tawala ana kesi gani inayoweza mfanya akose dhamana sema ubabe wa kusema sisi tunayo madaraka ya kuweka watu ndani
Hakuna Mtu ambaye anatukana ila hakuna namna ya kumtia mtu hatiani ndo inatengenezwa kila aina ya sababu ikiwamo visingizio vya matusiNiambie mtu gani wa chama tawala au UDP na vyama vinginevyo nje ya ukawa vinavunja sheria kwa kuutukana utawala uliopo?
Hakuna Mtu ambaye anatukana ila hakuna namna ya kumtia mtu hatiani ndo inatengenezwa kila aina ya sababu ikiwamo visingizio vya matusi
Subiri uamuzi wa mahakamaTundu Lissu amefanya nini?
Mwana sheria wa serikali kung'ang'aniza lissu asipewe dhamana huoni kama hapo kuna walakiniTundu Lissu amefanya nini?
Kwan democracy ninini?UKAWA kumbukeni uhuru una mipaka yake,Demokrasia ipi tena inatakiwa?
Mwana sheria wa serikali kung'ang'aniza lissu asipewe dhamana huoni kama hapo kuna walakini
Kama ilitimiza wajibu SawaIsipokuwa pale sheria inazuia, Mahakama ndiyo yenye mamlaka ya mwisho kutoa dhamana. Hivyo Wakili wa Serikali alitimiza wajibu wake kwa kupinga dhamana. Kuna tatizo hapo?
Kama ilitimiza wajibu Sawa
[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Kuwa na hasira na nalbu spika huku ukimsusia vikaoKwan democracy ninini?